Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.
CC: RRONDO , Extrovert