Mercedes Benz C200 Compressor

Kama pesa ya kulihudumia gari (services&parts) ni shida kwako, hizi ndinga za mzungu (benz, Bmw, Audi, Vw) kaa nazo mbali.

Benz ni gari yenye pride, comfortable na safety, lakini ni gharama pia katika kuendelea kuimiliki.
 
C200 kompressor zimekuwa yebo yebo dar es salaam.. kila kona zimekuwa kama IST
 
Uko sawa..
 
Hahah.... Japo On papers inaonekana ni ya kinyonge sana ukilinganisha na Rivaries wake.... 3 series na Audi A4
ngoja tuone, maana zimekuwa kama njugu.. A4 kama hizi za kuanzia 2010 ni sex sana kuliko hiyo.. ila kwa uimara Benz ni jiwe sana kuliko hao wenzake.. sidhani kama benz inakuwaga kama na magonjwa magonjwa kama hao ndugu zake
 
Asante sana Mkuu.
 
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 

Gari nzuri sana napenda ile kuanzia 2007
Upate Avant-garde Blue Efficiency tamu sana
 
Mchek @isangafamily
 
Tanzania TRA wamewafanya watu wengi wamekua watoa ushauri badala ya kununua maana hayo magari wanayouliza kila kukicha ndio haya haya...
 
Ungetaja na Bei mpaka kufika TZ ili wataalam waoanishe taarifa kabla ya kukushauri
 
Kaka hebu share your experience na Ford Ranger 2020/2021. 🇬🇧
 
Ford ranger hazina shida kaka na hizi za miaka unayotaka ni mpya hizo mimi nimeleta karibu zote na zipo sawa..kuanzia 2010 mpaka 2024..

Na changamoto za TRA, Ngoja nijipange nitafute huyu mnyama. Shida TRA wana peg kodi kwenye dollars. Na hii shilling yetu inavyodondoka kila siku, mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…