Mercedes Benz C200 Compressor

Mercedes Benz C200 Compressor

Kama pesa ya kulihudumia gari (services&parts) ni shida kwako, hizi ndinga za mzungu (benz, Bmw, Audi, Vw) kaa nazo mbali.

Benz ni gari yenye pride, comfortable na safety, lakini ni gharama pia katika kuendelea kuimiliki.
 
Mimi ushauri wa bure

1. Kama hela ipo ya kutosha go for it.

2. Gari hazitaki ubabaishaji kwenye spea. Weka spea genuine.

3. Acha habari za mafuta ya Kidebe. Utalia,

4. Story za kuendesha gari mpaka inazima ndio uite fundi zitakugharimu.

5. Uzuri vitu vingi vikuleta shida, mpaka taa ikiungua inakushow kwenye dashboard, jitahidi kuzingatia.

6. Mambo ya kuskipp service achana nayo, With genuine Oils hutofanya service frequent kama gari za Japan.
C200 kompressor zimekuwa yebo yebo dar es salaam.. kila kona zimekuwa kama IST
 
Mimi sio fundi, I'm an importer Kila mwezi au miezi miwili naingiza mzigo at least Tzs 20m kutoka Germany,UK etc. Naweka rekodi Sawa tu Kwa watu kama wewe. Few times natumia DHL or Aramex Kwa vitu vidogo vya order. Weka umemunua lini. Umefika lini DHL na umetoka lini tra Hadi wewe uupate.Sio kwamba kila Mzigo ukinunua online eti utafika DHL siku hio hio. Pia supplier wengine hawatumi bongo baadhi ya vitu. Mzigo unaweza kutoka amst Hadi Dar 48 hrs ila mpaka wewe uupate ni zaidi ya muda uliotumia kutoka amst Hadi Dar kwasababu ya clearance.
Uko sawa..
 
Hahah.... Japo On papers inaonekana ni ya kinyonge sana ukilinganisha na Rivaries wake.... 3 series na Audi A4
ngoja tuone, maana zimekuwa kama njugu.. A4 kama hizi za kuanzia 2010 ni sex sana kuliko hiyo.. ila kwa uimara Benz ni jiwe sana kuliko hao wenzake.. sidhani kama benz inakuwaga kama na magonjwa magonjwa kama hao ndugu zake
 
Mimi ushauri wa bure

1. Kama hela ipo ya kutosha go for it.

2. Gari hazitaki ubabaishaji kwenye spea. Weka spea genuine.

3. Acha habari za mafuta ya Kidebe. Utalia,

4. Story za kuendesha gari mpaka inazima ndio uite fundi zitakugharimu.

5. Uzuri vitu vingi vikuleta shida, mpaka taa ikiungua inakushow kwenye dashboard, jitahidi kuzingatia.

6. Mambo ya kuskipp service achana nayo, With genuine Oils hutofanya service frequent kama gari za Japan.
Asante sana Mkuu.
 
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.

CC: RRONDO , Extrovert

View attachment 1953751

View attachment 1953752

View attachment 1953753

View attachment 1953754

Gari nzuri sana napenda ile kuanzia 2007
Upate Avant-garde Blue Efficiency tamu sana
 
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.

CC: RRONDO , Extrovert

View attachment 1953751

View attachment 1953752

View attachment 1953753

View attachment 1953754
Mchek @isangafamily
 
Kama Mmiliki naunga mkono hoja. Awakwepe sana wachimba chumvi na watu wa Toyota.

Yani ukishaona mtu anamiliki Toyota hata maswali ya Benz asimuulize kabisa maana wao stori zao hili jini....linabugia mafuta.....spea bei ghali......mafundi hakuna.....zina umeme mwingi....sijui ni gari ya kutoka wikendi kwa wikendi ....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tanzania TRA wamewafanya watu wengi wamekua watoa ushauri badala ya kununua maana hayo magari wanayouliza kila kukicha ndio haya haya...
 
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.

CC: RRONDO , Extrovert

View attachment 1953751

View attachment 1953752

View attachment 1953753

View attachment 1953754
Ungetaja na Bei mpaka kufika TZ ili wataalam waoanishe taarifa kabla ya kukushauri
 
Mimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
Kaka hebu share your experience na Ford Ranger 2020/2021. 🇬🇧
 
Ford ranger hazina shida kaka na hizi za miaka unayotaka ni mpya hizo mimi nimeleta karibu zote na zipo sawa..kuanzia 2010 mpaka 2024..

Na changamoto za TRA, Ngoja nijipange nitafute huyu mnyama. Shida TRA wana peg kodi kwenye dollars. Na hii shilling yetu inavyodondoka kila siku, mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom