Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Sema Ford ranger na Nissan hazina kodi kubwa sana kama Toyota ni kupambana nao tu..Na changamoto za TRA, Ngoja nijipange nitafute huyu mnyama. Shida TRA wana peg kodi kwenye dollars. Na hii shilling yetu inavyodondoka kila siku, mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi wa kawaida.