Mercedes Benz future Truck

Mercedes Benz future Truck

Teknolojia inaendana na mazingira.
Kwa huku kwetu hiyo wacha tuangalie kwenye video.

Unapita Iyovi unakutana na wajuba wanakimbiza gari imebeba nyanya au mbao wanawahi Mabibo/Buguruni wakashushe warudi tena. Hapo kwenye Kona wanatanua kama njia Yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom