Mercedes Benz G-class hii machine imesimama balaa

Mimi mwenyewe sijaelewa.

Maana ninavyojua hapa ni swala la mwaka iliyotoka.ni sawa na kusema hii ni brabus ya 1997.
So unahisi Mfano:Bmw 3-series ni sawa na bmw M3?

Hebu search Mercedes G-class 550 kama ni sawa Mercedes G63 AMG.
 
Sawa,hii ni kampuni moja ila matoleo tofauti.

Ila huku kwenye benz scenario ni tofauti kidogo,embu nipe hiyo G class ya mwaka 2017,nilinganishe na brabus ya mwaka 2017,labda kuna kitu nitaelewa zaidi.
 
Brabus ni kampuni ya nje tu ambayo huzifanyia mabadiliko Benz original then wanapachika lile logo lao la B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…