Mercedes Benz G-class hii machine imesimama balaa

Mercedes Benz G-class hii machine imesimama balaa

Sure maana kama ni ubora sio kwa kutoa $ 25,000 gari ya 1997 miaka 22 iliyopita isitishe maiage inasoma 150,000 km!
Hapa ulipia brand sio bure
Mkuu hizo gari zina ubora Watanzania hatutumii magari mazuri kwa sababu ya kodi kubwa DRC hilo gari Kodi yake haizidi usd 3000 na chini ya hapo Goma yapo mengi na kwa bara bara zao inahitaji gari hizo Watanzania tuna kilema Cha kutotumia gari nzuri tunaona Fortuner 2008 au BMW X 5 Johannesburg

unaipata kwa 13,000,000 tsh ya diesel lakini bongo hayo Kodi yake hayapungui 27,000,000 tsh ndio maana tunajikita kwenye vigari vidogo ila magari sio hatari kama wengi wanavyodhania na hii password ya Japan kuuza gari za zamani kidogo bei juu watu wanaona poa tuu chaka ni kwa kaburu tuu hapo ndio maana wenyeji wanapaharibu gari ya zamani hata iwe na jina gani itauzwa bei ndogo...
 
Huyu mnyama kasimama balaa its my dream car but bei yake mkasi kinoma.
Ngoma ya 1997 mailage inasoma 154,000 km cc3100+ price inagonga $25,000

Za kuanzia 2003 ngoma inaanzia $34,000 kudadeki. Hii ngoma ukiikalia heshima debe ila tataizo mkwanja kaka. Its my dream car but I surender.
German machineView attachment 1211905View attachment 1211906View attachment 1211906View attachment 1211940
Ni mambo ya usasa tu ila kwangu mimi ni bora hii...
057c4769cc338758f1d1ed6956d29b7b.jpeg
6a37250a44b9334e018f05b153d7992f.jpeg
f0d10a2abc696d7f5123fbe7d846ec17.jpeg
34b6527f10e62461bd56d5a12724e8e3.jpeg
 

Attachments

  • 6a37250a44b9334e018f05b153d7992f.jpeg
    6a37250a44b9334e018f05b153d7992f.jpeg
    77.8 KB · Views: 29
Siku membe ameenda kwenye kesi yake na musiba alishuka kwenye iyo chombo pale mahakamani
 
Isanga family,
Sasa mkuu hata kama kodi ingekua ndogo lakini bei ya gari bado mkasi chek Befoward gari ya 1997 inauzwa $25,000 kabla ya garama nyingine! Sema ni gari classic sana
 
Back
Top Bottom