Wenye uzoefu na hii gari BMW X1 naomba wanipe uzoefu wao, nataka kujilipua niidake. Vipi upatikanaji wa spea zake, uimara wake nakadharika. Naziona zipo nyingi sana mtaani lakini ningependa kujua kabla sijajilipua. Naikubali sana hii ndinga japokuwa so far wameni-disappoint ni two wheel drive.