Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Katika maonyesho ya IAA Mobility huko Munich, Germany, kampuni la magari Mercedes Benz wamezindua new generation ya powertrain ya umeme, na kuiweka officially kwa mara ya kwanza kwenye SUV yake pendwa ya GL series.
MB walikuja kwenye EV industry na drivetrain yao ya zamani ambayo imepata mapokezi mabaya sana na mauzo hayakua mazuri, ndio maana wakaamua kuanza upya kabisa from ground, ndio wametuletea hii drivetrain mpya. Pia naming yake itakua inafanana na majina ya magari ya engine, sema utaambiwa hii ni GLC with EQ Technology.
SUV inakuja na battery la 94 kWh, lenye uwezo wa kuchajiwa kwa DC fast-charger kwa muda wa dk 25 kutoka 10% hadi 80% au tuseme kilometa 250 utaziongeza kwa kuchaji dk 10 tu, na full charge linakupa range ya hadi 700 km. Pia, zitakua na port ya charger ya NACS.
Wametoa model mbili, GLC 400 4MATIC inayokuja na motor mbili, AWD, 488 ho na 0-100 kph kwa sek 4.4.
Model ya pili ni GLC 300+ yenye motor moja, RWD, 369 hp na 0-100 kph kwa 5.9 sek.
Kwa ndani, kuna huperscreen kubwa ya inch 39 inayoanza mwanzo hadi mwisho wa dashboard.
Ngoja tuone second chance ya Mercedes, na wata compete vipi na upcoming BMW iX3.