Mercedes-Benz watoa Pick-up kwa mara ya kwanza!

Mercedes-Benz watoa Pick-up kwa mara ya kwanza!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Soko la Pick-up lazidi kupamba moto baada ya VW kuja na Amarok, sasa Mercedes-Benz nao wameamua kujichanganya kwenye hilo soko na kuja na Model mpya kabisa ijulikanayo kama X-Class, hawa wote wanashindana na mnyama wa siku nyingi kwenye hii nyika, Toyota Hilux!



image-1064039-galleryV9-qthz-1064039.jpg




Auto001.jpg




image-1064022-galleryV9-ehgu-1064022.jpg



Auto003.jpg


Auto002.jpg



image-1064029-galleryV9-ceuh-1064029.jpg


Kwa wale watu wa kwenda porini mnaweza kupendelea version ya X-Class hii hapa chini!

image-1064031-galleryV9-nyht-1064031.jpg



image-1064032-galleryV9-btir-1064032.jpg



image-1064033-galleryV9-frph-1064033.jpg



image-1064035-galleryV9-oiih-1064035.jpg
 
Mshauri mjomba magu anunue zitamfaa sana
Kiukweli gari nzuri

OVA
 
dah, sijui huyo mnyama atauzwa $$ ngapi
 
Me navoiona ii kitu Iko tu kama hillux. Except uglier..especially hiyo grill ya mbele. Asee Ford Ranger Wildtrak ndo kila kitu.. kwa 52,000$ tu unapata 4×4 ya uhakika.. Ukipita kwenye yale makorongo ya Toure drive au baadhi ya barabara za Mikocheni hausikii kitu..
 
Benz SA wamepata sana faida mwaka jana na mwaka huu wametoa benz nyingi na sokoni zimekubalika sana Benz kodi Tanzania zipo juu hilo unaambiwa ndio anasa kweli.,
 
Back
Top Bottom