Mercedes-Benz watoa Pick-up kwa mara ya kwanza!

Mercedes-Benz watoa Pick-up kwa mara ya kwanza!

Ipo siku ndoto zangu zitatimia, ngoja nile kwanza msokoto mmoja nipate mood ya kufanya kazi.
 
Ipo siku ndoto zangu zitatimia, ngoja nile kwanza msokoto mmoja nipate mood ya kufanya kazi.
 
Benz gari za heshima sana, kuna Wajerumani wakija Africa wakiona Benz lazima akuulize huyo mwenye hiyo gari ana utajiri gani?
mmmh sijui kama kauli yako ina ukweli labda kwa aina ya benz ambazo ni ghali sana lakini bei ya benz ujerumani ni kawaida sn na nyingi kule ni TAXI. Labda washangae kuwa zinauzwa mpk huku. Nilikaa sana huko German na nilinunua Benzi Euro 2700 ambayo kwa Bongo kila nilipokuwa nakatiza watu walikuwa wanashangaa wakati bei yake ni ndogo tu kwa kule Germany so sijui kwa nn washangae mtu kumiliki huku kwetu
 
Funzadume benz ni gari ya heshima kama umeona model za mwaka jana na mwaka huu utajua hilo Bongo magari ni starehe lazima washangae si ndio mfumo uliokubali unashangaa German watu kufanya Taxi wakati hapo ndio kwake ungeshangaa kuona inafanywa Taxi huku kwetu na si huko ambako Supply ya Benz ipo juu..
 
Me navoiona ii kitu Iko tu kama hillux. Except uglier..especially hiyo grill ya mbele. Asee Ford Ranger Wildtrak ndo kila kitu.. kwa 52,000$ tu unapata 4×4 ya uhakika.. Ukipita kwenye yale makorongo ya Toure drive au baadhi ya barabara za Mikocheni hausikii kitu..
ford ranger umbo ndio zuri, kwenye mashimo inarusha balaa, na kama hujapakia mzigo nyuma upo rough road utakoma nayo.
stability na comfortability kwa pickups ipo kwa Nissan Patrol pickup.
 
Hiyo gari inaonekana delicate sana.
Mashimo ya kwetu kamsamba sijui kama itayaweza.
 
Back
Top Bottom