Mercedes benzC180/ subaru foresta

Mercedes benzC180/ subaru foresta

Acceleration ya Subaru in sensors tu, hamna cables.
Ikiwa out of sync utajuta kuwa na Subaru.
Engine za Subaru ni next phase!
Nimeambiwa piston zake ni horizontal prpulsiin kutokana na historia yake kuwa originally zilikuwa za ndege.
Mafundi wa Subaru generally ni wachache sana.
Ila Subaru ikiwa order utaipenda.
Mimi nimekuwa na SF5, SG5 na sasa nina SH5 Forester zote.
Ukweli foresta ikiwa gari yako ya Kwanza hutokaa ubadulishe, ni mnyama Ile ghari
 
SI kweli kwamba ni ghali mi namiliii ila kama ni spare zinakua genuine sio zile za kuchonga kwa mtogole
Subaru hatuweki spare za kuchonga au fake.
Hii ni gari next phase!
Mimi nimemiliki za aina tatu.
 
Back
Top Bottom