Mercedez Benz 220d C class 2010

Mercedes Benz sifa zake kuu...
Ni gari kweli na sio sumbufu kwa kuharibika mara kwa mara...
Ina mapumziko mazuri yaani ina Confort sana...
Ukiendesha Mercedes na ukabadili gari lingine utaona tofauti kubwa..
Hizo Series mafuta ni kawaida tuu na hili lindane na kiwango chake cha ulaji wa mafuta kila Km zinapofika za kufanya Service usiruke...
Kati ya gari ambazo binafsi nazipa imani kubwa na sijaona makosa yao ni Mercedes Benz...
Pia ukibadili parts zake sio mara kwa mara ukiweka unasahau...
 
Huu uzi mbona mnaupotezea[emoji28]

Wakuu njooni mtupe madini ya Benz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…