Mercedez Benz 220d C class 2010

Mercedez Benz 220d C class 2010

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
116
Reaction score
189
Wakuu nimevutiwa na hii garii, kutokana na matumizi yake ya mafuta.Naomba mwenye Ufahamu zaidi ya hizi gari au ambae amesha itumia atupe uzoefu wake prons and cons.

Nawasilisha.
1326369896.jpg
1809632318.jpg
 
Mercedes Benz sifa zake kuu...
Ni gari kweli na sio sumbufu kwa kuharibika mara kwa mara...
Ina mapumziko mazuri yaani ina Confort sana...
Ukiendesha Mercedes na ukabadili gari lingine utaona tofauti kubwa..
Hizo Series mafuta ni kawaida tuu na hili lindane na kiwango chake cha ulaji wa mafuta kila Km zinapofika za kufanya Service usiruke...
Kati ya gari ambazo binafsi nazipa imani kubwa na sijaona makosa yao ni Mercedes Benz...
Pia ukibadili parts zake sio mara kwa mara ukiweka unasahau...
 
Huu uzi mbona mnaupotezea[emoji28]

Wakuu njooni mtupe madini ya Benz
 
Back
Top Bottom