mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
ukisema swal la dash bord sio nzuri utakua unakosea cheki new model ya ayo magari uliyotaj uone pamoja n picha zilizo tumwa n members wengine af ulinganisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SmartMoja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa nje, hakuna gari ninayoikubali kama Mercedez Benz.
Ila pamoja na kuboresha muonekano wa nje uwe wa kisasa zaidi, dashboard zao bado zinakosa mvuto. Hazina nakshi ambazo gari nyingi za kileo wanaweka pale mbele.
View attachment 1630887
View attachment 1630888
View attachment 1630901
Ni kipi kipimo cha uzuri wa dashboard?Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa nje, hakuna gari ninayoikubali kama Mercedez Benz.
Ila pamoja na kuboresha muonekano wa nje uwe wa kisasa zaidi, dashboard zao bado zinakosa mvuto. Hazina nakshi ambazo gari nyingi za kileo wanaweka pale mbele.
View attachment 1630887
View attachment 1630888
View attachment 1630901
Aaahh wewe! Inategemea na model. Hebu weka Dashboard ya BMW X7 au ya Marcedes Benz GLE 450 uone vitu!
He/she belongs to Toyota, hizo dashboard nazipenda haswa!Ni kipi kipimo cha uzuri wa dashboard?