Mercedez Benz na BMW ni magari ya kifahali lakini yenye dashboard mbaya

ukisema swal la dash bord sio nzuri utakua unakosea cheki new model ya ayo magari uliyotaj uone pamoja n picha zilizo tumwa n members wengine af ulinganisha
 
Hizo gari hata sijawahi kupanda ila kwangu mimi binafsi sijawahi kuona dashboard bora kuliko ya huyu mnyama.🏍🏍🏍
 
Smart
 
Ni kipi kipimo cha uzuri wa dashboard?
 
Unazungumzia model ipi?
Hata brand zingine pia zipo model zina dashboard nzuri na zingne mbaya vilevile......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…