kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
VAT ya nini mzee ukishalipa importy duty na port duty inaisha hiyo.Hapo ongeza vat 18%,import duty sio 30% kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VAT ya nini mzee ukishalipa importy duty na port duty inaisha hiyo.Hapo ongeza vat 18%,import duty sio 30% kweli?
Bila kukosa uwanja wa mazoezi.
Ila itabidi walifanyie mafekechee wapige nondo za kutosha kuzuia mawe lisije kupopolewa na mashabiki wenye hasira.
Azam haina mashabiki wa hovyo kama Simba na Chura ....labda wafanyiwe vurugu na mashabiki wa hizo timu mbili
[emoji1756][emoji1756]Duh boss ni utani tu,,
Thats almost 1b tzs.Duh.. 300,000 x 2,800 = 840,000,000
VAT kwenye import ya bidhaa na mitambo ipo mkuu.VAT ya nini mzee ukishalipa importy duty na port duty inaisha hiyo.
Magari mazuri kama hayo yanaenda Chipata huko au Chililabombwe bongo ni story Nchi nzima tupo nyuma mno...Kwenye mabasi ukilinganisha na nchi jirani sisi bongo ndio tuko nyuma,haya ma irizar,marcopolo kama zambia washayazoea.
Ww je tajiri wa jf ,out of jf nothing u ownHaa Haa
Wananchi Wenyewe Hoi Bakuri Halina Mfuniko
Mchina 3 wanakuongezea 1 ya mkopo jumla 4.Hyo ni 1bilion yan pesa ya hii chuma unapata mchina mbili