Mercedeze benz Irizar i6 ya Azam

Azam haina mashabiki wa hovyo kama Simba na Chura ....labda wafanyiwe vurugu na mashabiki wa hizo timu mbili
Bila kukosa uwanja wa mazoezi.

Ila itabidi walifanyie mafekechee wapige nondo za kutosha kuzuia mawe lisije kupopolewa na mashabiki wenye hasira.
 
Hizo gari wanatumia Wazambia miaka nenda rudi kwa safari za ndani na nje ya Nchi tena umbali mrefu mfano JHB mpaka Mpika yapo ghari ndio maana wafanyabiashara wa Bongo wanachukua za kichina nyingi na matumizi yake ni ya muda mfupi...
 
na ukute ni mpya sio iliyotumika huko majuu.
 
Hyo ni 1bilion yan pesa ya hii chuma unapata mchina mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…