Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mwaka 1997 nilipanda Trunslux double deka kutoka Cape town mpaka Gabs, ni miaka 20 na kitu iliyopita, mpaka leo hatuna doble deka Tanzania.Hizo gari wanatumia Wazambia miaka nenda rudi kwa safari za ndani na nje ya Nchi tena umbali mrefu mfano JHB mpaka Mpika yapo ghari ndio maana wafanyabiashara wa Bongo wanachukua za kichina nyingi na matumizi yake ni ya muda mfupi...View attachment 1962672
Alijaribu mwenye mabasi ya Buffalo alileta moja lakini inaonekana alichemka sijaons tena double deka luxury coach Tanzania.
Nashangaa sana hata mradi wa mwendo kasi wameshindwa kuleta mabasi ya double deka ili kubeba watu wengi, Johannesburg naona yapo yanatumika sana kama London bus.