Siyo media za Bongo, wahariri wengi katika vyombo vyetu vya habari hutegemea maamuzi ya wamiliki wao ambao wengi ni wanasiasa na baadhi yao wana record ya kaufisadi fulani.kwa nini kumekuwa na MEDIA BLACK OUT kwenye hili jambo?
maana naona magazeti yote zaidi ya lile RAIA MWEMA halijaripoti
Kulikoni? au imebackfire?
Kweli kabisa Mkuu,
Ushauri kwa Mkuu Invisible/Mwanakijiji,.....
...sina uhakika sana kuhusu uhusiano wa JF na bloggers maarufu kma akina Michuzi et al.........ni vema ikiwa tutashirikiana na bloggers of Michuzi type kusambaza elimu itolewayo hapa JF.......
Siri hazijadiliwi ... ni hadi hapo itakapokuwa wazi kwa wote ndipo itajadiliwa.
Kuwa na subira.
Pia inaonekana kuna hii kitu hapa: Program Alert: Mjadala wa ripoti on StarTV-Sunday.
Usikose kufuatilia kwa makini ili kujua kitakachoendelea.
I wish we could discuss this document lakini mie siwezi na sababu wahusika wanazijua
..anyway
kuna mtu ame scan magazeti ya Leo? wanasemaje kuhusu hii ripoti?
I am trying ku scan magazeti yalivyoripoti on Meremeta lakini sioni kitu jamani hebu leteni news articles ili tuweze kuscan tuone walivyoripoti on this report ...na lengo kuu ni kuona magazeti yepi ambayo hayatoi credit to JF
THIS SHOULD BE INTERESTING
Kweli kabisa Mkuu,
Ushauri kwa Mkuu Invisible/Mwanakijiji,.....
...sina uhakika sana kuhusu uhusiano wa JF na bloggers maarufu kma akina Michuzi et al.........ni vema ikiwa tutashirikiana na bloggers of Michuzi type kusambaza elimu itolewayo hapa JF.......
Impact hakuna
Media wameamua kugoma
je hii inaweza ika count as spectacualr nosedive au vipi?
I would not say that if I were you; the words will come to haunt you.
utake usitake hii ni siku ya 3 tangu doc itoke na reporting yao imekuwa slow kuliko nilivyotegemea
sasa kama siyo wao ku colide na establishment kumbe ni nini
strategy zibadilishwe na hawa ma editors naona wanajiona wako kwenye comfort zone sana
si vibaya kuwakumbusha once in a while where they belong na watake watu for granted
yaani kila kukicha na scan magazeti na sioni mpya zaidi ya ile ya mwanzo ya Raia Mwema
nishai kweli hawa jamaa wa mainstream media
utake usitake hii ni siku ya 3 tangu doc itoke na reporting yao imekuwa slow kuliko nilivyotegemea
Kwa nini unawaza kukosoa tu? na sio kuongeza inputs zako kama unazo???
Kwa sababu hajaon acha maana bali ni utafutaji tu, nini kipya kilichomo humo? mimi sijailipia na nilisema toka mwanzo silipii na sababu nilizitowa kwa nini silipii na sasa nataka mnambie nini kipya humo? mimi nimeisoma bureeeee, na sijaona jipya! wala lenye maana, uongo mtupu.
Nilikutegemea wewe na serikali yako ya sisi m mseme hivyo maana hiyo ndio lugha yenu kila siku.Kwa sababu hajaon acha maana bali ni utafutaji tu, nini kipya kilichomo humo? mimi sijailipia na nilisema toka mwanzo silipii na sababu nilizitowa kwa nini silipii na sasa nataka mnambie nini kipya humo? mimi nimeisoma bureeeee, na sijaona jipya! wala lenye maana, uongo mtupu.
Magazeti ya leo hayajasema lolote juu ya Ripoti ya Meremeta nafikiri wanatafakari nini cha kufanya,ripoti iko so incriminative against the Government.Lazima busara itumike kujua nini cha kuandika vinginevyo kutakuwa na kasheshe kubwa sana serikalini.
May I ask what entails starting the trust?
Haiwezekani kuundwa group hapa hapa JF iliyo na moyo huo wakajiunga na kuahidi/kutoa walicho nacho halafu tukaelezwa imepatikana kiasi gani?
Najiuliza pia server tu imetushinda JF inatishiwa kufungwa, inaweza kuwa ngumu mwanzoni lakini ikafanikiwa as reports start coming out. Tunawaomba wenye mawazo mazuri zaidi na uwezo watupe ushauri zaidi.