Meremeta 00:00:00. EXTRA

Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
kwa nini kumekuwa na MEDIA BLACK OUT kwenye hili jambo?

maana naona magazeti yote zaidi ya lile RAIA MWEMA halijaripoti

Kulikoni? au imebackfire?
Siyo media za Bongo, wahariri wengi katika vyombo vyetu vya habari hutegemea maamuzi ya wamiliki wao ambao wengi ni wanasiasa na baadhi yao wana record ya kaufisadi fulani.

Wanaogopa kuigusa wakaunguza vidole!
 
Kweli kabisa Mkuu,

Ushauri kwa Mkuu Invisible/Mwanakijiji,.....
...sina uhakika sana kuhusu uhusiano wa JF na bloggers maarufu kma akina Michuzi et al.........ni vema ikiwa tutashirikiana na bloggers of Michuzi type kusambaza elimu itolewayo hapa JF.......

Michuzi ni mwajiriwa wa serikali ingawa blog yake haifungamani na upande wowote, lakini hawezi kuchapisha kitu kinachocontradict interest za mwajiri wake. Mwajiri wake analaumiwa kwa kuwa corrupt na utwala usiofuata sheria, wakati mwajiri anajitapa kuwa yeye ni mfano wa kuigwa barani africa, unadhani jamaa akichapa hiyo report ya ulanguzi wa siraha wataipenda? atakosa Vekesheni zote. Lakini huwa anatoa makala Fulani fulani za Mwanakijiji, sio mbaya sana.
 
Siri hazijadiliwi ... ni hadi hapo itakapokuwa wazi kwa wote ndipo itajadiliwa.

Kuwa na subira.

Pia inaonekana kuna hii kitu hapa: Program Alert: Mjadala wa ripoti on StarTV-Sunday.

Usikose kufuatilia kwa makini ili kujua kitakachoendelea.

kwa hiyo hii bado ni siri? Nilidhani watu 100 waliopenda kujua na watakaoweza kuitumia hii ripoti wanayo. Kuna siri ya watu 100+?...hahaha

Anyway...lets give it time. Hopefully hichi kipindi kitawekwa kwenye muda mzuri zaidi.
 
I wish we could discuss this document lakini mie siwezi na sababu wahusika wanazijua

..anyway

kuna mtu ame scan magazeti ya Leo? wanasemaje kuhusu hii ripoti?

They say...blood is thicker than water...innit?

I am trying ku scan magazeti yalivyoripoti on Meremeta lakini sioni kitu jamani hebu leteni news articles ili tuweze kuscan tuone walivyoripoti on this report ...na lengo kuu ni kuona magazeti yepi ambayo hayatoi credit to JF

THIS SHOULD BE INTERESTING

credit kwa JF au Mwanakijji and crew? Kwa maoni yangu, katika ripoti hii JF imetumika kama posta tu - yani kusafirisha mzigo. But it had nothing to do with the actual content of the package.
 
Kweli kabisa Mkuu,

Ushauri kwa Mkuu Invisible/Mwanakijiji,.....
...sina uhakika sana kuhusu uhusiano wa JF na bloggers maarufu kma akina Michuzi et al.........ni vema ikiwa tutashirikiana na bloggers of Michuzi type kusambaza elimu itolewayo hapa JF.......

watu wote wenye kuhitaji kuipata walipata taarifa zake n.k na blogger wote maarufu wamepata taarifa ya uwepo wake. Ni uamuzi wao kuirusha au la. On the other hand. Have you ever heard of "Bunker busters".. ? Mna wasiwasi sana ndugu zangu; for maximum impact you have to be calculated, precise, and absolutely timely. So.. relax.
 
- Wananchi tufike mahali tuwe waangalifu sana the game of politics, katika kuvujishwa kwa habari yoyote muhimu kwa taifa kama hii, siku zote kuna winners na losers, sasa anza kupiga hesabu:-

1. Je rais wa sasa anaweza kuwa a loser kwa kuvujishwa hii habari ambayo ni ya rais Mkapa kwa 100%!

2. Je mtandao wana tatizo na hii habari kuvuja ambayo wala haiwahusu?

3. Je idara ni kweli 100% wanataka kujua hii habari imevujaje, iliyofanyika under the watch ya waliostaafu tayari?

au

4. Ni wastaafu ndio wanaohaha sasa hivi wakidanganywa na walioko kwenye power sasa hivi? Ndipo unapata maana ya kuvuja kwa pakacha ni nafuu yetu sisi wananchi.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Nashukuru kwa kukaribishwa kuwa sehemu ya jamii katika mtandao huu. Binafsi nimekuwa mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ingawa nakiri sio mara zote nimeweza kusoma articles zinazowekwa hewani. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri ni matumani yangu kuwa kwenye report tutapata habari zitakazo tuonyesha ukweli na kutusaidia kufanya maamuzi hasa kwenye uchaguzi. Tuamke.
 
duh...nimeisikiliza hiyo audio, na inaonyesha mambo yamekuwa hatari. Ripoti nyingine mbili zinakuja...kweli hapa kunaweza kusikalike. Sasa kama ripoti ya kwanza itanifanya niwe kama mfalme aliyenyang'anywa taji lake, hizo zingine zitakuwaje? Ni kweli, we cannot remain neutral on such issues. U either support mafisadi au u dont. Hata kama ni ndugu. Tanzania si yenu, bali ni ya wote. Big up MWJJ na timu...we are waiting for the impact. Bunker Busters zinapopigwa, zinapenya hata uwe na reinforcement ya namna gani. Alafu wakati mwingine kwa nje huwezi ona matokeo, lakini ukichungulia ndani...
 
Last edited:
Mwanakijiji hongera sana, tutanunua tusome tuelewwe, wala hakuna shaka. Endelea kupuigana sisi tunakuunga mkono.
 
Impact hakuna

Media wameamua kugoma
je hii inaweza ika count as spectacualr nosedive au vipi?

labda itafutwe strategy nyingine...of course hii ya kuuza ilikuwa ni nzuri lakini kuwaambia watu wasubiri 10 days nayo nishai..hizo ni nyingi mno na maximum impact mliotaka naona imeshindikana


uzeni for 24 hrs max kisha gaweni bure

Au strategy nyingine ni kuwa chenjia hawa ma editors wa hayo magazeti yenye mtandao mkubwa Tanzania kama vile ya IPPMEDIA na FREE MEDIA

au mnasemaje?

Doesnt matter hata kama ndio mambo ya KUL WAHED lakini they shouldnt take you for granted..lakini hii SNUB waliotoa hawa jama ni mbaya sana
 
I would not say that if I were you; the words will come to haunt you.

utake usitake hii ni siku ya 3 tangu doc itoke na reporting yao imekuwa slow kuliko nilivyotegemea

sasa kama siyo wao ku colide na establishment kumbe ni nini

strategy zibadilishwe na hawa ma editors naona wanajiona wako kwenye comfort zone sana

si vibaya kuwakumbusha once in a while where they belong na watake watu for granted

yaani kila kukicha na scan magazeti na sioni mpya zaidi ya ile ya mwanzo ya Raia Mwema

nishai kweli hawa jamaa wa mainstream media
 
utake usitake hii ni siku ya 3 tangu doc itoke na reporting yao imekuwa slow kuliko nilivyotegemea

sasa kama siyo wao ku colide na establishment kumbe ni nini

strategy zibadilishwe na hawa ma editors naona wanajiona wako kwenye comfort zone sana

si vibaya kuwakumbusha once in a while where they belong na watake watu for granted

yaani kila kukicha na scan magazeti na sioni mpya zaidi ya ile ya mwanzo ya Raia Mwema

nishai kweli hawa jamaa wa mainstream media

Umeangalia move ya 'Nothing but the Truth 2008'? .... who is the source?
 
utake usitake hii ni siku ya 3 tangu doc itoke na reporting yao imekuwa slow kuliko nilivyotegemea

Kwanini ulitegemea hivyo? Mimi sikutegemea hivyo. just FYI wengi wao waliniuliza kama wangeweza kuirusha... jibu langu limezuia hiyo.

[/QUOTE]
 
Kwa nini unawaza kukosoa tu? na sio kuongeza inputs zako kama unazo???

Kwa sababu hajaon acha maana bali ni utafutaji tu, nini kipya kilichomo humo? mimi sijailipia na nilisema toka mwanzo silipii na sababu nilizitowa kwa nini silipii na sasa nataka mnambie nini kipya humo? mimi nimeisoma bureeeee, na sijaona jipya! wala lenye maana, uongo mtupu.
 
Kwa sababu hajaon acha maana bali ni utafutaji tu, nini kipya kilichomo humo? mimi sijailipia na nilisema toka mwanzo silipii na sababu nilizitowa kwa nini silipii na sasa nataka mnambie nini kipya humo? mimi nimeisoma bureeeee, na sijaona jipya! wala lenye maana, uongo mtupu.

si mpaka!
 
Mwanakijiji,

Expectations za Watu zilikuwa ni kuona majina ya vigogo yakitajwa, kuwa wamechukua pesa, wamejenga majumba, pesa zimeisaidia CCM and all sort of political junk news we have seen in TZ for the past 3-5 years.

I guess majority of those who have sen the report or become aware of it, have no clue on what is being stated and what impact it has on us.

Meremeta report was not a normal fantasy against ufisadi and thus the overwhelming silence!

The question that the Right Reverend has continued to ask for the past 2 years after he was able to figure out Meremeta was a covert operation is this; who in Government of Tanzania was caught in compromising position that he/she was blackmailed and compromised not only our security, but our freedom, integrity and natural resources?
 
Kwa sababu hajaon acha maana bali ni utafutaji tu, nini kipya kilichomo humo? mimi sijailipia na nilisema toka mwanzo silipii na sababu nilizitowa kwa nini silipii na sasa nataka mnambie nini kipya humo? mimi nimeisoma bureeeee, na sijaona jipya! wala lenye maana, uongo mtupu.
Nilikutegemea wewe na serikali yako ya sisi m mseme hivyo maana hiyo ndio lugha yenu kila siku.
Sasa mmeshaanza kushambuliana hata bungeni. Poleni but your too late to heal this epidemic.
 
Magazeti ya leo hayajasema lolote juu ya Ripoti ya Meremeta nafikiri wanatafakari nini cha kufanya,ripoti iko so incriminative against the Government.Lazima busara itumike kujua nini cha kuandika vinginevyo kutakuwa na kasheshe kubwa sana serikalini.

Mimi nafikiri magazeti mengi hajaandika ripoti ya Mwanakijiji kwa sababu masuala yaliyomo katika ripoti hiyo siyo mageni tangu kuanza kwa sakata la Meremeta na ndiyo maana haijapokewa kwa kishindo na vyombo vya habari nchini. Nafikiri pia ripoti hiyo haitaleta kasheshe kubwa serikalini kama anavyosema Kachero.
 
May I ask what entails starting the trust?
Haiwezekani kuundwa group hapa hapa JF iliyo na moyo huo wakajiunga na kuahidi/kutoa walicho nacho halafu tukaelezwa imepatikana kiasi gani?
Najiuliza pia server tu imetushinda JF inatishiwa kufungwa, inaweza kuwa ngumu mwanzoni lakini ikafanikiwa as reports start coming out. Tunawaomba wenye mawazo mazuri zaidi na uwezo watupe ushauri zaidi.

Hili jambo lina uzito wake ingefaa iwe mada ya peke yake ili watu wajadili kwa upana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom