Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
MKJJ hujajibu swali lihusulo haki miliki kuchapisha kwenye magazeti kwa wataopata hizo nakala 100......
 
MKJJ hujajibu swali lihusulo haki miliki kuchapisha kwenye magazeti kwa wataopata hizo nakala 100......

haki ya kunakili zimehifadhiwa; kwa hiyo sitarajii gazeti lolote au chombo chochote kuchapa ripoti hiyo isipokuwa kama kunukuu kwa maana ya sehemu ya habari. Nje ya hapo, kuna watu wazuri tu wanasubiri kufanywa matajiri.
 
Mkuu MKJJ,

hakuna "sneak-peek" angalau ya a couple of paragraphs?
Mimi nakala yangu itabidi unishushie mtaani ukipiga raundi...$ thelathini
yako inakusubiri.

Big ups to what you are doing bro!


ticha... angalia posti ya kwanza.. tumewawekea sneak preview.. of the whole chapter!
 
ticha... angalia posti ya kwanza.. tumewawekea sneak preview.. of the whole chapter!

Yaani inabidi nipate "inhaler" yangu na kununua nyingine mbili kabla ya jumatano!!!!!!!!!!!

Duh, kusevu "nehi che"; ku-print "nehi che"!!! Hongera sana
 
sasa mkuu umesema nakala ni 100 tu na zitatolewa kwa mkupuo, na ni confidencial. huoni kuwa hao watakaozipata wataweza kuzisambaza?
 
Katika maisha kuna risk taking; We took the risk to do what we are doing, somebody else has to take some risk. Without taking risks hakuna mabadiliko ya kweli.

Kwa kuongeza kwa ufupi kabisa ni kwamba, kwa sasa hakuna atakayethubutu kugusa mtu maana wanajua watu wamejiandaa kwa muda mrefu sana na wameamua LIWALO NA LIWE na kwa gharama yoyote hata IKIBIDI ....... ..&*&#((@**&@
 
Mkuu Mkjj with all due respect . Hii ripoti huoni kama kuna wana JF na watanzania wote wana haki ya kuipata? Kwa sababu ni kama vile mtu anayekula ukwaju huku wengine wakimwangalia lazima udenda uwatoke. Ninaomba sana mkuu muda muafaka ukifika uiweke hewani wote tujue mbivu na mbichi.
 

Mkuu,

Hii riport ni kama KITI MOTO. Wewe kama huli nyama au wewe ni Muislaam basi na mate yakutoke sana ila huwezi igusa.

Nakubaliana na Mwanakijiji kuwa KUELEWA kuna cost. Pia kama huna hizo dola 30, basi hata riport ukiipata kwa sasa ni kuwa hutakuwa na la kufanya zaidi ya kuanza wasimulia ndugu na marafiki ambao nao watakuona kama unachemka vile.

Waachie wale ambao kwa namna moja au nyingine wana uwezo na wako tayari kuyafanyia kazi maelezo yote yaliyoko ndani na siku ikifika, tutajua wote na naomba Mungu, tujuwe wakati tayari kuna matunda ya kazi hiyo.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mtoto utakua tu taratibu, fikiria kirefu kingine hasa ukihusisha na wanausalama.

kila mtu ni mtoto kwa ndani - au sio?
UWT = Ulinzi wa Taifa?

Hayo maneno mawili yamenifanya nicheke kwa kukumbuka kisa kimoja.

Kijana mmoja Mkatoliki katika mtihani wa mambo ya siasa, aliulizwa ataje jina la Prime Minister wa Uk (by time John Major). Kijana hakuwa anafahamu au alisahau. Basi mwalimu alitoka ofisini na secretary akaamuwa kumsaidia kijana kama amekwama.

Secretary: Vipi kijana, umekwama wapi nikupe msaada?
Mwanafunzi: Kuna hili swali hapa la PM wa UK.
Secretary: Ahh, mbona rahisi? Jina lake linafanana na jina la Papa ....
Mwanafunzi: Juan Pablo II ..........
 
well done , nadhani umewatageti watu ambao wako kwenye decision position for quick responce, thats gud. nadhani kwa baadaye fikiria jinsi ya kuinform this large group which the only power they have wait next year on ballot box, they need to chew it, and make their decision, if the objective is for transformation.

otherwise, i really support the movement.
 
Hilo lisikutie shaka, in case of unforeseen event the report will be released independently of this base and freely. NO one can stop it, isipokuwa Mungu.
nimeipenda hiyoo plan B mkuu..

siku zote watenda maovu hawana kosa ila wale wanaongalia maovu yakitendeka na kukaa kimyaa..umeonyesha njiaa
 
Mwanakijiji Man,
Kweli wewe ni muanzisha chache za fikra kwenye minds za watu.
Since umepost hii kitu, nimekuwa nafikiria sana. Ya i have the $30 but even if i get the infos nitazifanyia kazi?? that is the challenge to me. Anyways nitalipia tu hata kama sitakuwa on the 100 list nataka tu kuonyesha support yangu. I hope i can pay even after jtano siyo? I may not really need the info but i do support the move.

Asante sana mkuu. Utasaidia haka ka-nchi ketu bwana walau tusipo faidi sisi watoto wetu wafaidi.
 

Nakuunga mkono kwa mawazo yako. Na mimi nitalipia lakini ningeWISH hiyo report iwe public - nikimaanisha tungeamua tangu mwanzo kuwashawishi watu wailipie ili hiyo thamani ya kopi 100 ikifika iwe posted hapa na pengine pote ili isambae kama moto pori - kama it is worth the hints!

Ili iwafikie wakatoliki, waKKKT, waislam, waangalikana na wote wanaotaka kutumie mikusanyiko (associations) yao kupinga ufisadi bila kula maneno!

WaTZ lazima tuunge mkono juhudi kama za Mkjj - juhudi zenye nia ya kuinusru nchi na ufisadi.

Lipa hata kama hutasoma hiyo report!
 

Hamna kwere mh, hasa kama imekupa furaha isiyo na kejeli. Unajua ubongo ulichukua muda ku-process vitu. It happens to the best of us.
 
MMM, Mbona hiyo sneak preview ina password tena? - Ok, samahani, nimeona password. Asante

Shida ya watu wengi huwa hatupendi kusoma, tukisoma tunaruka ruka, Password mbona ipo wazi kabisa kwenye post ya kwanza. Speed na kufuata instruction ni sehemu ya mtihani aliwahi kuniambia mwalimu wangu Zawadi
 
Shida ya watu wengi huwa hatupendi kusoma, tukisoma tunaruka ruka, Password mbona ipo wazi kabisa kwenye post ya kwanza. Speed na kufuata instruction ni sehemu ya mtihani aliwahi kuniambia mwalimu wangu Zawadi

Mbona nawe pia hupendi kusoma? ungekuwa umeona sehemu aliyo-update kuwa keshaona hiyo password!
 
Thanks Mwkjj, sasa nashawishika kuchangia zile $30 sijui kama sijachelewa.

hujachelewa.. tunayo hadi ile J'tano. So.. get it while u can kwa sababu kuna movements za ajabu sana zinaendelea... naweza kujikuta narudisha fedha ya wote waliochangia kabla hata haijatoka.. so.. I got my fingers crossed kwamba tufike j'tano tu i roll out!

Ka nzi' na wenzie nao wana maoni ya kama baadhi ya watu kuwa ingechangiwa tu kufidia hiyo na iwe public. Hapa tuna hangaika na hekima.
 

kila mtu mwenye haki ya kuipata anaweza kuipata.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…