Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKJJ hujajibu swali lihusulo haki miliki kuchapisha kwenye magazeti kwa wataopata hizo nakala 100......
Mkuu MKJJ,
hakuna "sneak-peek" angalau ya a couple of paragraphs?
Mimi nakala yangu itabidi unishushie mtaani ukipiga raundi...$ thelathini
yako inakusubiri.
Big ups to what you are doing bro!
ticha... angalia posti ya kwanza.. tumewawekea sneak preview.. of the whole chapter!
Thanks Mwkjj, sasa nashawishika kuchangia zile $30 sijui kama sijachelewa.ticha... angalia posti ya kwanza.. tumewawekea sneak preview.. of the whole chapter!
Katika maisha kuna risk taking; We took the risk to do what we are doing, somebody else has to take some risk. Without taking risks hakuna mabadiliko ya kweli.
ticha... angalia posti ya kwanza.. tumewawekea sneak preview.. of the whole chapter!
Mkuu Mkjj with all due respect . Hii ripoti huoni kama kuna wana JF na watanzania wote wana haki ya kuipata? Kwa sababu ni kama vile mtu anayekula ukwaju huku wengine wakimwangalia lazima udenda uwatoke. Ninaomba sana mkuu muda muafaka ukifika uiweke hewani wote tujue mbivu na mbichi.
Mtoto utakua tu taratibu, fikiria kirefu kingine hasa ukihusisha na wanausalama.
kila mtu ni mtoto kwa ndani - au sio?
UWT = Ulinzi wa Taifa?
nimeipenda hiyoo plan B mkuu..Hilo lisikutie shaka, in case of unforeseen event the report will be released independently of this base and freely. NO one can stop it, isipokuwa Mungu.
Mwanakijiji Man,
Kweli wewe ni muanzisha chache za fikra kwenye minds za watu.
Since umepost hii kitu, nimekuwa nafikiria sana. Ya i have the $30 but even if i get the infos nitazifanyia kazi?? that is the challenge to me. Anyways nitalipia tu hata kama sitakuwa on the 100 list nataka tu kuonyesha support yangu. I hope i can pay even after jtano siyo? I may not really need the info but i do support the move.
Asante sana mkuu. Utasaidia haka ka-nchi ketu bwana walau tusipo faidi sisi watoto wetu wafaidi.
Hayo maneno mawili yamenifanya nicheke kwa kukumbuka kisa kimoja.
Kijana mmoja Mkatoliki katika mtihani wa mambo ya siasa, aliulizwa ataje jina la Prime Minister wa Uk (by time John Major). Kijana hakuwa anafahamu au alisahau. Basi mwalimu alitoka ofisini na secretary akaamuwa kumsaidia kijana kama amekwama.
Secretary: Vipi kijana, umekwama wapi nikupe msaada?
Mwanafunzi: Kuna hili swali hapa la PM wa UK.
Secretary: Ahh, mbona rahisi? Jina lake linafanana na jina la Papa ....
Mwanafunzi: Juan Pablo II ..........
MMM, Mbona hiyo sneak preview ina password tena? - Ok, samahani, nimeona password. Asante
Shida ya watu wengi huwa hatupendi kusoma, tukisoma tunaruka ruka, Password mbona ipo wazi kabisa kwenye post ya kwanza. Speed na kufuata instruction ni sehemu ya mtihani aliwahi kuniambia mwalimu wangu Zawadi
Thanks Mwkjj, sasa nashawishika kuchangia zile $30 sijui kama sijachelewa.
Mkuu Mkjj with all due respect . Hii ripoti huoni kama kuna wana JF na watanzania wote wana haki ya kuipata? Kwa sababu ni kama vile mtu anayekula ukwaju huku wengine wakimwangalia lazima udenda uwatoke. Ninaomba sana mkuu muda muafaka ukifika uiweke hewani wote tujue mbivu na mbichi.