Meremeta 00:00:00. EXTRA

Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
Mkuu,
R the copies sold out?

Very, very good work. I have a copy of Tanzania Daima with me and the report made front page.........i think things have started heating up? 🙂

Wakuu,

Tupasieni hiyo rasha rasha iliyoandikwa. Nafahamu riport yenyewe itakuwa kubwa sana. Itakuwa vema tupate kuonja kabla ya kumsoma mwali mzima.
 
alichofanya mwandishi tena hajajitabmbulisha amejiita tu mwandishi maalum ni kusoma ile sneak peek view iliyowekwa humu na kuisummerise, kisha kuibandika kwenye gazeti......
 
Mkuu,
R the copies sold out?

Very, very good work. I have a copy of Tanzania Daima with me and the report made front page.........i think things have started heating up? 🙂

TANZANIA DAIMA IS NO WHERE TO BE SEEN,

Nimemtuma bwana mdogo wangu anunue gazeti hilo alianipashe kilichoandikwa ananiambia amezunguka kwenye news stands kadhaa na Tanzania Daima imeisha.

This is a good news lakini vile vile najipa moyo kuwa yamewafikia watanzania wengi, yasijekuwa yamenunuliwa na JAMAA.
 
......the games have begun!!!!!!!!!!!!!!......this is a very very good sign 🙂
 
TANZANIA DAIMA IS NO WHERE TO BE SEEN,

Nimemtuma bwana mdogo wangu anunue gazeti hilo alianipashe kilichoandikwa ananiambia amezunguka kwenye news stands kadhaa na Tanzania Daima imeisha.

This is a good news lakini vile vile najipa moyo kuwa yamewafikia watanzania wengi, yasijekuwa yamenunuliwa na JAMAA.
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA
 
Oooh OKAY...

Nilisha anza kupata wasiwasi.

Poa mkuu
 
MKJJ

Mwendo ndio huo

wakulipe hao...mambo ya bure bure hakuna

wakigoma kaa nazo mpaka wakulipe hao maana pesa za mengine wanazo sioni kwa nini washindwe kukulipa

thats the way to go
 
Mkuu MMKJ,
Kwanza heshima kwako. Hongera sana kwa kazi nzuri kwani Watanzania tulio wengi tunashindwa kuzifikia taarifa hizo muhimu kuhusu wizi wa mchana unaoratibiwa na viongozi wetu waroho.

Nimesikia kupitia redioni, lakini yawezekana hata hilo Raia Mwema lisisambae, Bubu tafadhali uliko tuwekee hapa hiyo article kwa kumbukumbu.
 
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA

Yeah awali ulikosea na hii ndiyo Raia Mwema na ndani wamenukuu jamiiforums na mwanakijiji.com. Wamejirekebisha baada ya last week kuacha kutambua JF katika story yao ya MOU ya Kanisa na Serikali. Thats Good, watu kujisahihisha.
 
Attachments

  • RAIA_MWEMA.JPG
    RAIA_MWEMA.JPG
    28.6 KB · Views: 83
MKJJ

Mwendo ndio huo

wakulipe hao...mambo ya bure bure hakuna

wakigoma kaa nazo mpaka wakulipe hao maana pesa za mengine wanazo sioni kwa nini washindwe kukulipa

thats the way to go
GT, wamezoea vya bure,kazi wafanye wengine,wao wapewe bure lol.Bravo MKJJ.
 
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA

Inatakiwa uadhibiwe wewe umeshamtia hasara jamaa hapo.
Tatizo iwa hamsomi vitu vya nyumba mm mbona hapo nyuma nimesema Raia Mwema wewe unakuja na Tanzania Daima unastahili adhabu umekurupuka.
 
Wewe ndiyo unatakiwa kupewa adhabu kwa kukosa ukarimu na uungwana wa kusamehe walioomba msamaha kwenye makosa yanayosameheka!! lol
 
Sijajua vizuri kwa nini hii taarifa ya meremeta imekuwa confidential na ghali kama lengo ni kuufahamisha umma wawatanzania kuhusu huu uozo. Sishawishiki kwamba ni kuwalinda walio itoa kwani hata hizo nakala 100 zitasambazwa kwa njia moja au nyingine.
 
duh!

Sasa kazi ni kumonitor ni magazeti gani ambayo hayata ipa JF credits kwa hili doc
 
Days in history: 29.7.2009 - The Day Mwanakijiji stopped the clock for Tanzanians!
 
Wewe ndiyo unatakiwa kupewa adhabu kwa kukosa ukarimu na uungwana wa kusamehe walioomba msamaha kwenye makosa yanayosameheka!! lol

hehehe huyu anastahili adhabu kali maana hakutaka kujua kama amekosea huku akiendelea kukosea.
 
Days in history: 29.7.2009 - The Day Mwanakijiji stopped the clock for Tanzanians!

Yap! but not to all of them. Kumbuka hapa Mbagala hakuna anayejali serikali imefanya nini na huko kijijini ndo kabisaaaaaaa!

Wengi tulio humu kwanza hata kura hatupigi! Wengi wasio na Internet connection ndo walitakiwa waelewe hiki kitu vizuri. Mwanakijiji amefanya kazi nzuri na team yake ila watakaoiona ni wachache, hasa walio mjini na wasiopiga kura.

Well done anyway!

FP
 
FP, ukichukulia statistics za Watanzania kinamna hiyo itabidi u-include pia wale waliozikwa na wale walioko ndani ya womb. Somehow, sometimes, somethings are only meaningful to the wary ones!!
 
I seriously hope this leads into something...
MJJK na timu yako nzima...hongereni sana. Hope others will carry on the load for you guys!
IT'S TIME....
 
FP, ukichukulia statistics za Watanzania kinamna hiyo itabidi u-include pia wale waliozikwa na wale walioko ndani ya womb. Somehow, sometimes, somethings are only meaningful to the wary ones!!

SteveD umenena,

Mkuu FP hapa sisi ndani ya JF tumebeba jukumu la viongozi wetu waliolala, na humu ndani ni sawa na ukumbi wa mikutano ambao wana JF ni wajumbe wanaowakilisha sehemu ya Watanzania wengi wakiwamo wale wa Mbagala na vijijini. Baada ya kuwaelimisha (si kama Ngurdoto) wana JF, moto wa mageuzi utaenea, kwa kuanzia utaona magazeti (mfano wa Raia Mwema leo) yatabeba hiyo ajenda (kama Richmond.radar, EPA etc) na baada ya hapo, pole pole kule kwetu Mgori ama Mhunze na kule Ndorwe Wanga wataanza kupata ujumbe pole pole na hapo mto wa mageuzi utakuwa umewashwa. Ni lazima jambo lipate mwanzo na huu ni mwanzo mzuri. Umejaribiwa na umefanikisha mengi mkuu, tusikate tamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom