Mkuu,
R the copies sold out?
Very, very good work. I have a copy of Tanzania Daima with me and the report made front page.........i think things have started heating up? 🙂
alichofanya mwandishi tena hajajitabmbulisha amejiita tu mwandishi maalum ni kusoma ile sneak peek view iliyowekwa humu na kuisummerise, kisha kuibandika kwenye gazeti......Wakuu,
Tupasieni hiyo rasha rasha iliyoandikwa. Nafahamu riport yenyewe itakuwa kubwa sana. Itakuwa vema tupate kuonja kabla ya kumsoma mwali mzima.
Mkuu,
R the copies sold out?
Very, very good work. I have a copy of Tanzania Daima with me and the report made front page.........i think things have started heating up? 🙂
......the games have begun!!!!!!!!!!!!!!......this is a very very good sign 🙂TANZANIA DAIMA IS NO WHERE TO BE SEEN,
Nimemtuma bwana mdogo wangu anunue gazeti hilo alianipashe kilichoandikwa ananiambia amezunguka kwenye news stands kadhaa na Tanzania Daima imeisha.
This is a good news lakini vile vile najipa moyo kuwa yamewafikia watanzania wengi, yasijekuwa yamenunuliwa na JAMAA.
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMATANZANIA DAIMA IS NO WHERE TO BE SEEN,
Nimemtuma bwana mdogo wangu anunue gazeti hilo alianipashe kilichoandikwa ananiambia amezunguka kwenye news stands kadhaa na Tanzania Daima imeisha.
This is a good news lakini vile vile najipa moyo kuwa yamewafikia watanzania wengi, yasijekuwa yamenunuliwa na JAMAA.
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA
GT, wamezoea vya bure,kazi wafanye wengine,wao wapewe bure lol.Bravo MKJJ.MKJJ
Mwendo ndio huo
wakulipe hao...mambo ya bure bure hakuna
wakigoma kaa nazo mpaka wakulipe hao maana pesa za mengine wanazo sioni kwa nini washindwe kukulipa
thats the way to go
I am so sorry...i meant to say Raia Mwema and not Tanzania Daima...sorry for the mistake........the brief is on the front page of RAIA MWEMA
Wewe ndiyo unatakiwa kupewa adhabu kwa kukosa ukarimu na uungwana wa kusamehe walioomba msamaha kwenye makosa yanayosameheka!! lolInatakiwa uadhibiwe wewe umeshamtia hasara jamaa hapo.
Tatizo iwa hamsomi vitu vya nyumba mm mbona hapo nyuma nimesema Raia Mwema wewe unakuja na Tanzania Daima unastahili adhabu umekurupuka.
Wewe ndiyo unatakiwa kupewa adhabu kwa kukosa ukarimu na uungwana wa kusamehe walioomba msamaha kwenye makosa yanayosameheka!! lol
Days in history: 29.7.2009 - The Day Mwanakijiji stopped the clock for Tanzanians!
FP, ukichukulia statistics za Watanzania kinamna hiyo itabidi u-include pia wale waliozikwa na wale walioko ndani ya womb. Somehow, sometimes, somethings are only meaningful to the wary ones!!Yap! but not to all of them. Kumbuka hapa Mbagala hakuna anayejali serikali imefanya nini na huko kijijini ndo kabisaaaaaaa!
Wengi tulio humu kwanza hata kura hatupigi! Wengi wasio na Internet connection ndo walitakiwa waelewe hiki kitu vizuri. Mwanakijiji amefanya kazi nzuri na team yake ila watakaoiona ni wachache, hasa walio mjini na wasiopiga kura.
Well done anyway!
FP
FP, ukichukulia statistics za Watanzania kinamna hiyo itabidi u-include pia wale waliozikwa na wale walioko ndani ya womb. Somehow, sometimes, somethings are only meaningful to the wary ones!!