Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Huu ndio uzalendo uliotukuka. Asante kwa yote na tunapaswa kuiga hili.
Wacha tuusome kisha TUKASIRIKE
 
Mh MWJJ...U r the man. But hope umeweza ku-recover costs zako. Ni kitu muhimu sana ku-share knowledge. Tutasoma hii, tutafakari huku tukisubiri hizo mbili nyingine zinazokuja....
no more neutrality
 
ya mwanzo nilimaliza kuisoma, kwa kuwa kuna mamabo yameongezeka kwa hii ngoja nianze nayo.

safi sana mkuu
 
Si watu walitaka kujua? atakayekuwa depressed asitulaumu.

Ahsante sana Mkjjj, yeyote atakayekuwa depressed na hii nakala ni fisadi ambaye kwa njia moja au nyingine alifaidika kwa ufisadi huu au kuuficha kwa kudai kwamba unahusiana na 'usalama wa Taifa' maana madhambi yao yanazidi kuanikwa hadharani kila kukicha lakini wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu kamwe hatuwezi kuwa depressed maana sasa tunapambana nao kila kona katika kuanika uchafu wao unaoingamiza nchi yetu.
 
Its amazing mzee mwanakijiji,sasa hii hapa inatakiwa uwe na ushahidi wakutosha,otherwise huu ni uhalifu mkubwa kabisa katika nchi na kuusumbua usalama wa taifa, inafika wakati sasa wananchi yuwe macho na rasilimali zetu, tuulize na kudai majibu, midege inatua tutu, wageni wanapewa viwanja vya ndege mbugani na kuruka free, so mzee unadeal na watu vingunge sana japo najua ni malimbukeni, they are capable of anything, weka ushahidi vizuri lazma watakutafuta ulipo!!!
 
Ngoja tuisome halafu tuchangie, Ahsante Mwanakijiji na timu yako
 
Ubarikiwe sana kwa jitihada zako za kutuelimisha.
 
Inshallah nimeipata sasahivi, poleni na maandalizi ya ripoti hii nzito..
 
Mkuu ninashukuru sana kwa hatua ulichokuwa hadi hivi sasa;hii ni vita tunahitaji kujikomboa.Usijali tuko pamoja cha msingi ni kukaza buti mwanzo-mwisho.
 
Hakikisheni mnarejea kwenye post ya kwanza tumeongeza faili moja ambalo wengine walilipata mwanzoni.
 
Hii Ndio JF nimeona kwenye Raia mwema wametishia tishia kuwa tutatafutwa wenye copy...mbona sasa too laite watu wana copy karibu kila mtu....yaani download na printing kwenye maofisi leo mbona cost ya stationary na catridge itasoma 99% kwa leo...tu.Mzee mwanakijiji ubarikiwe sana....Keep it up huu ni uzalendo ambao hata raia mwema nao wame ufeel.

NB: Kwa siku kazaa Job walikuwa wamepiga pin kudownload file kama hizi leo kwa maajabu hiii kitu imeshuka..sijui software ile yenye pin nayo imepata uzalendo na nchi yetu....
 
Ulakoze, asante, wabeja, wakola, ndagafijo, thank you, Aikambe, Merci, Mashukru,
 
Ulakoze, asante, wabeja, wakola, ndagafijo, thank you, Aikambe, Merci, Mashukru,

asante, wabeja kulumba, ndaga fijo na lori, havache, aikambe, danke, usengwile, shukrani, gratias
 
Aisee ndo nimemaliza kuisoma Mwanakijiji shukrani sana,ninachosubiria ni kuona impacts! Mambo ni mazito!! Let's wait and c!....
 
Mzee mwanakijiji huu ni msumali wa jicho acha uwachome kabisa, hongera zikufikie na baraka za mwenyezi mungu zikufikie. Well done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…