Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Uchunguzi mpya wa ThisDay au Vipi ni ripoti ya MEREMETA inatolewa kwa mafungu?

JF na hawa jamaa wa media wanajuana

kama huamini hebu tazama threads ambazo ziko critical to media in Tanzania na blogs (including MICHUZI) ziko wapi...

Wakenya kwenye forums zao wako free kuanzisha threads za kuitukana Tanzania na wanachangia bila matatizo...humu kwa sababu ya Political Correctness tunaambiwa "ohhh mbona mnataka kuharibu Amani"

JF imekwa too left wing na liberal for my taste kusema ukweli
 
Message sent and received!

Yawezekana ThisDay pia walikuwa na hiyo report kama MKJJ.

Sasa Watz wanajua ni kwa nini Pinda anasita kuema ukweli over Meremeta!
 
hii ndio THIS DAY journalism...nikisema niliambiwa nina chuki binafsi na MENGI lakini hawa ndio ma journalists na media ambao uongozi wa JAMII FORUMS unaona aibu kuwa out kisa sikijui lakini kuna theories kuwa ni bedfellows wa JF!

Nothing new walichokifanya wamechukua ripoti ya Mwanakijiji from Jamii Forums na kujidai eti wamefanya "FINDINGS"...findings my arse!

Sasa mnaogopa nini kuwaaanika hawa? Zipo namna nyingi tu za kuwaweka in their rightful places lakini hilo hamtaki!

Katika ripoti ya MwanaKijiji kuna barua ya IKULU? kama hii?

Mmoja wa wasomaji alisema hivi, "Nimeisoma ripoti ina mapungufu kadhaa ikiwa ni pamoja na kutohusisha kuwapo kwa barua ya Ikulu. Raia Mwema walikwisha andika kuhusu hiyo barua."

Nadhani Raia Mwema walikwisha andika, hilo nadhani ndilo ungetumia kama kigezo cha kuwasema Thisday lakini si vinginevyo.

http://www.raiamwema.co.tz/index.php?d=24
 
Attachments

  • MEREMETA_IKULU.JPG
    MEREMETA_IKULU.JPG
    338.7 KB · Views: 352
Katika ripoti ya MwanaKijiji kuna barua ya IKULU? kama hii?

Mmoja wa wasomaji alisema hivi, "Nimeisoma ripoti ina mapungufu kadhaa ikiwa ni pamoja na kutohusisha kuwapo kwa barua ya Ikulu. Raia Mwema walikwisha andika kuhusu hiyo barua."

Nadhani Raia Mwema walikwisha andika, hilo nadhani ndilo ungetumia kama kigezo cha kuwasema Thisday lakini si vinginevyo.

http://www.raiamwema.co.tz/index.php?d=24

Lakini RAIA MWEMA wao si walishasema kuwa wameipata JF ama?

Sasa hawa THIS DAY waomeona ubaya gani kusema kama source yao ni JF?

Hapa tunapa wider picture kuwa inawezekana wahariri wenyewe inawezekana walipokuwa chuo kikuu walikuwa wana palagarize course works zao na haya ndio matokeo yake wakiwa kazini wanaumbuka
 
Kwa hiyo inaonekana kuwa JK is clear from this issue isnt he?

haya ni madudu ya Mkapa...now the question is je, current administration watamkaanga mzee mkapa?

MEREMETA_IKULU.jpg

duh!
 
Unapofanya kazi yoyote ile huwa tunacknowledge watu wengine waliofanya hiyo kazi. Siamini kuwa This day hawakuioona report ya MJJ, kwa hiyo walipokuwa wanaandika kazi yao ilibidi waseme kuwa katika habari walizozifanyia uchunguzi zinazoshabihiana na kazi za MJJ alafu wanataja hayo mambo muhimu.

Tatizo sio Journalism, tatizo ni shule zetu TZ, unajua shule zetu hazina Essay na tukiwa tunaandika Essay hawatuaambii habari ya kuacknowledge, suala la Paragilism halitiliwi mkazo kabisa, ndio maana unaweza ukachukua kazi ya mwingie ukabadirisha kava na kuiuza upya bongo kweli tambarare
 
Lakini RAIA MWEMA wao si walishasema kuwa wameipata JF ama?

Sasa hawa THIS DAY waomeona ubaya gani kusema kama source yao ni JF?

Hapa tunapa wider picture kuwa inawezekana wahariri wenyewe inawezekana walipokuwa chuo kikuu walikuwa wana palagarize course works zao na haya ndio matokeo yake wakiwa kazini wanaumbuka

Mkuu GT umekwenda haraka kabla ya kusoma hilo Raia Mwema, si la mwaka huu lililosema http://www.raiamwema.co.tz/news.php?d=1577 ni la muda mrefu ambalo lilisema http://www.raiamwema.co.tz/news.php?d=619

Na ndio maana hata This Day walipoandika kwa jamii yetu inaonekana mpya.
 
Kumbukeni kuna ambao iliuzwa na haikuwa na masharti yoyote yale na ile ambayo iliwekwa hapa tatizo ndio hilo
 
Kumbukeni kuna ambao iliuzwa na haikuwa na masharti yoyote yale na ile ambayo iliwekwa hapa tatizo ndio hilo

lakini bado SHy hii haijastfy kuwa nikikupa kitu bure husemi nimekipata kwa Mbogela, lazima uacknowledge. hawa jamaa wakikamatwa wakaambiwa walete ushihidi utashangaa wanatoka na report ya MJJ
 
Kumbukeni kuna ambao iliuzwa na haikuwa na masharti yoyote yale na ile ambayo iliwekwa hapa tatizo ndio hilo

ebwana kweli

duh hili sikuliona..lakini ngoja nipitie first pages za ile ripoti maana siamini kama wao hawakutoa sharti la coyright
 
Unapofanya kazi yoyote ile huwa tunacknowledge watu wengine waliofanya hiyo kazi. Siamini kuwa This day hawakuioona report ya MJJ, kwa hiyo walipokuwa wanaandika kazi yao ilibidi waseme kuwa katika habari walizozifanyia uchunguzi zinazoshabihiana na kazi za MJJ alafu wanataja hayo mambo muhimu.

Tatizo sio Journalism, tatizo ni shule zetu TZ, unajua shule zetu hazina Essay na tukiwa tunaandika Essay hawatuaambii habari ya kuacknowledge, suala la Paragilism halitiliwi mkazo kabisa, ndio maana unaweza ukachukua kazi ya mwingie ukabadirisha kava na kuiuza upya bongo kweli tambarare

Usemayo uko sahihi kabisa, lakini kwa bahati mbaya sana ni kwamba hujui undani wa hiyo story ya Thisday na pengine hujui kabisa undani wa Ripoti Maalumu, sasa unapotaka Thisday waseme walipata JF ama kwa Mwanakijiji unakwepa ukweli ambao umeelezwa hapo juu. Barua iliyowekwa humu na ambayo Thisday wameitumia (si mara ya kwanza) na ambayo Raia Mwema waliitumia, haikutoka unakotaka wa-acknowledge.

Ni kweli kwamba wangechukua vitu kutoka kwenye ripoti ya Mwanakijiji na kuboresha taarifa yao lakini inategemea na mikakati yao, na hujui ni kwanini wameanza sasa kuandika kuhusu Meremeta, pengine wanapima upepo kwanza!!!
 
Halisi, nadhani watu wanajaribu kutofauti mgongano ambao haupo. Kuna taarifa ambazo zimekuwa zikitolewa kwa muda mrefu kuhusu Meremeta; taarifa ambazo tumeweza kuzionesha kuwa zinagongana na kutokana na kugonangana huko zinazua maswali zaidi kuliko majibu.

Lakini wakati huo huo kutoka na ile ripoti maalum tumeenda zaidi ya "official government position and correspondences". Watu wajaribu kufuatilia Iran Contra na Arms to Africa Affair na jinsi gani official gvt positions zilikuwa. Sasa hivi unaweza kuona kuhusu Meremeta serikali imekuwa na positions tatu kubwa ambazo zimekuwa zikibadilika kwa kadiri ya muda unavyokwenda:

a. Ilikuwa kwa ajili ya kusaidia wachimbaji wadogo
b. Ilikuwa kwa ajili ya uzalishaji wa dhahabu mkubwa kusaidia uchumi wa nchi (thus the quoted letter)
c. Ilikuwa kwa ajili ya kupata fedha za kufadhili kiwanda cha magari cha jeshi (Nyumbu).
d. Wapinzani wana sababu yao ya nne ambayo ni fedha zilichukuliwa kuingia kwenye uchaguzi mkuu 2005

Bahati mbaya ripoti yetu imeenda nje ya hizo sababu nne na kuongeza sababu ya tano na labda ya sita vile vile. Hiyo sababu ya tano ndiyo Enigma ya hili lote.
 
Mungu atatulinda na yote, maana naona kuna mambo mazito zaidi yanakuja.
 
Unaweza kudhani ni sinema!! Ila ndo ukweli!

Yet Mwal. primary unamlipa tshs 150,000 halafu unasema nchi maskini -haina pesa!
 
Usemayo uko sahihi kabisa, lakini kwa bahati mbaya sana ni kwamba hujui undani wa hiyo story ya Thisday na pengine hujui kabisa undani wa Ripoti Maalumu, sasa unapotaka Thisday waseme walipata JF ama kwa Mwanakijiji unakwepa ukweli ambao umeelezwa hapo juu. !!

Mkuu angalia hiyo content za barua na hiyo story waliyoandika kama hiyo barua imetaja yote waliyoandika humo, je barua inataja 50:50 ya share, inawataja wakurugenzi? kuna mambo kibao ukiyasoma kwenye story ya This Day na hiyo source yao ya barua haitoshelezi kuwa habari yote imetoka kwenye barua na kama wanavielelezo vingine vilivyowapa hizo habari mbona hawajasema?
 
Nenda kwenye post ya kwanza kabisa, mwanzoni mwa hii thread au mwanzoni mwa kila ukurasa mpya utaona files mbili za pdf. Chukua chako mapema ufaidi jasho la Mwanakijiji. MIMI nimefaidika sana na inshallah siku tukikutana kijijini tutatesa na kopo moja la kangaa!
Ahsante sana nakushukuru mno kwa kuniongoza
 
Mkuu angalia hiyo content za barua na hiyo story waliyoandika kama hiyo barua imetaja yote waliyoandika humo, je barua inataja 50:50 ya share, inawataja wakurugenzi? kuna mambo kibao ukiyasoma kwenye story ya This Day na hiyo source yao ya barua haitoshelezi kuwa habari yote imetoka kwenye barua na kama wanavielelezo vingine vilivyowapa hizo habari mbona hawajasema?

Ni kweli kaka, story yao imetumia sehemu ya mwanzo kwa kutumia barua japo hawaitaji (ukiwa unajua kama mimi ndio utaona), na sehemu ya pili ni background ambayo imeanzia story ya gazeti lao la jana ambalo waliandika wakitumia nyaraka za Brela http://www.thisday.co.tz/News/6159.html

na story zao za zamani ambazo JF walizinukuu

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/11820-meremeta-and-tangold-revealed.html
 
sasa Mkuu turudi kwenye mada, kama unaona Mzee Mjj alivyobainisha kuwa kuna sababu nyingi zinatajwa kuhusiana na Meremeta kutegemeana na nani ameitoa wapi na katika mazingira gani. Mimi Nadhani This day Pia sasa ni wakati wa kuweka pamoja hizi sababu na kutoka na Hitimisho wasomaji wao tujue Meremeta ilikuwa ya nani kwa ajili ya nini?
 
Back
Top Bottom