Hawa Meridian bet nilijiunga mara moja tu na nikajitoa(nililazimika kujiunga kwa muda mfupi ili niObserve kitu fulani kutokana na kazi zangu), lakini kila siku wanaendelea kunitumia meseji zao za ofa na promotion. Nimepiga simu zaidi ya mara tano wanasema tu watafanyia kazi lakini hamna kitu. Kama leo tu zimeshaingia tatu mfululizo nimepiga simu kapokea mdada halafu akakata.