Meridian Betting mnaboa!

Meridian Betting mnaboa!

Kapuku83

Senior Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
146
Reaction score
35
Ni siku ya nne sasa huduma zenu zimekua hazieleweki kwa madai ya kua network inasumbua,sijawahi experience uzembe na ubabaishaji wa namna hii!najua uwa yanatokea matatizo ya network si kwa kampuni yenu tu bali hata kwa makampuni mengine lakini si kwa siku nne mfulululizo bila kupata huduma hata ya lisaa limoja!hiki ni kichekesho na mzaha wa hali ya juu!wateja wenu wengi tumeanza kukatishwa tamaha na ubabaishaji wenu uliopita kiasi,ni better Mbet au Premier betting!au ndio kampuni inaelekea kufilisika?
 
Kapuku83 Jaribu kutumia tovuti yao, inafanya kazi vizuri tu muda wote
 
Last edited by a moderator:
Kapuku83 Jaribu kutumia tovuti yao, inafanya kazi vizuri tu muda wote

Asante mkuu,ila tatizo ni kua ukitaka kuweka hela kwy accony ndio wanakuambia network hakuna kwa hiyo haiwezekani,tatizo ili lipo hasa pale Kawe,na leo inakwenda siku ya tano
 
Last edited by a moderator:
Unatia nchi yako umasikini.

Inawezekana ukosefu wa elime au ukosefu wa kutojikomboa kifikra ndio unaosababisha uandike hivi na kujiona uko sahihi!hivi unajua kua serikali imeanza kukusanya kodi kupitia hizo betting na wame target billions of money kwa mwaka?na hii si Tanzania tu ni nchi nyingi duniani,tena Tanzania ni kama tulikua hatujajua ilo!kukaa kimya muda mwingine usaidia kuficha upumbavu wako japo sikufahamu
 
Asante mkuu,ila tatizo ni kua ukitaka kuweka hela kwy accony ndio wanakuambia network hakuna kwa hiyo haiwezekani,tatizo ili lipo hasa pale Kawe,na leo inakwenda siku ya tano

pale kawe majanga sana. leo wanafungua siku mbili au tatu inafungwa
 
Back
Top Bottom