Ni siku ya nne sasa huduma zenu zimekua hazieleweki kwa madai ya kua network inasumbua,sijawahi experience uzembe na ubabaishaji wa namna hii!najua uwa yanatokea matatizo ya network si kwa kampuni yenu tu bali hata kwa makampuni mengine lakini si kwa siku nne mfulululizo bila kupata huduma hata ya lisaa limoja!hiki ni kichekesho na mzaha wa hali ya juu!wateja wenu wengi tumeanza kukatishwa tamaha na ubabaishaji wenu uliopita kiasi,ni better Mbet au Premier betting!au ndio kampuni inaelekea kufilisika?