Merry Christmas and happy new year 2018.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha kuna kibogoyo mmoja anatumiaga sana neno hilo !alafu kutwa kujitapa msomi !lol namtupa kwenye dustbin mieeee
 
Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya sikukuu ya krismas na mwaka mpya wa 2018...
Napenda kumtakia Maserati kheri ya Krismasi, ujumbe wangu kwake ni Ahsante kwa yote.
 
Asante sana sana.
Ya kufuli mezea pilau lililobakia la Christmas.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: BAK
Mie nikajua hamna mtu ningejua kama kuna pilau ningesubiri hata masaa mawili lol!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha ha ha ha.
 
Reactions: BAK
Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya sikukuu ya krismas na mwaka mpya wa 2018...
Asante mase na kwako pia mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…