Merry Christmas and happy new year 2018.

Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya sikukuu ya krismas na mwaka mpya wa 2018...
Napenda kumtakia Maserati kheri ya Krismasi, ujumbe wangu kwake ni Ahsante kwa yote.
 
Shukrani sana Maserati. Heri na baraka kwako pia katika hii sikukuu kubwa ya Christmas na pia nakutakia kila la heri na baraka ya mwaka mpya wa 2018.

Nilikuja pm kutaka kukutumia Christmas card lakini nikashindwa kufanya hivyo kwani nilikuta kufuli kubwa ikining’inia mlangoni 😡
Asante sana sana.
Ya kufuli mezea pilau lililobakia la Christmas.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nikajua hamna mtu ningejua kama kuna pilau ningesubiri hata masaa mawili lol!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha ha ha ha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya sikukuu ya krismas na mwaka mpya wa 2018...
Asante mase na kwako pia mpenzi
 
Back
Top Bottom