Wewe kwa akili yako hii lazima utakuwa shabiki wa alikibi mzee wa papiliiii...yooòo!!acha afe tu,siyo mbaya, kwanza ni mzungu hanihusu.wa-Africa wengi tu wanaumwa wewe unaleta shobo kwa wazungu.
sio maskini ni mzunguMasikini.....
Pole,don't forget to wish him a merry X.mass,time is too short for him,merry X.mass Bradley.Mwili wangu wote umenisisimka jamani
No no no sio mungu wa eliya bwana, kwan ni wakwakw peke yake sema MUNGU MUWEZA NDIE ATAKAE MPONYASiku nyingine usichanganye kiswahili na Kiingereza "anakiface kifo" "kabla aja pas away".
Hii haikufanyi uonekane mjanja bali utaonekana kilaz.
"Mungu wa Eliya ndiye anajua muda sahihi wa huyo mtoto kufariki na atashangaza dunia.
Ishhhhhhsio maskini ni mzungu
[HASHTAG]#getwellsoonbradley[/HASHTAG]
PointTunavyojua kujipendekeza kwenye maumivu ya wazungu,kama wao huwa wapo na sisi kwenye maumivu yetu.HEBU ACHENI UJINGA HAPA,NENDENI MUHIMBILI MKAWATEMBELEE WALE WALIOKO I.C.U. Pole kwake,lakini pole nyingi zaidi ziwaendee wale woooote walio na magonjwa yasiyopona na bado wamelala kitandani karibia huu mwaka wa 10.
Hakika Mungu atafanya muujiza ktk hiliDah its sad i believe in miracles ningekuwa na mawasiliano yao ningewashauri kitu Jesus is alive na anaweza kubadilisha historia yake
Acha ujinga ....huwez halalisha kosa kwa kutenda kosa.....matatizo hayabagui rangi,kabila wala ubaguz wa aina yyte....Bas kwakuwa wao hawana huruma nasi basi NA ss tusiwe NA roho ya huruma?Tunavyojua kujipendekeza kwenye maumivu ya wazungu,kama wao huwa wapo na sisi kwenye maumivu yetu.HEBU ACHENI UJINGA HAPA,NENDENI MUHIMBILI MKAWATEMBELEE WALE WALIOKO I.C.U. Pole kwake,lakini pole nyingi zaidi ziwaendee wale woooote walio na magonjwa yasiyopona na bado wamelala kitandani karibia huu mwaka wa 10.
Hakuna sehemu niliko halalisha kosa kwa kosa,ila ninajaribu kuwaambia watu wasiwe wanafki kwa kujifanya wana huruma sana,wakati ocean road hospital wanapajua wakawaone na wale waone,tena hata wewe kama hujawahi kufika Ocean road fanya hima ukaone watu wanavyoteseka na hawana msaada wowote.Acha ujinga ....huwez halalisha kosa kwa kutenda kosa.....matatizo hayabagui rangi,kabila wala ubaguz wa aina yyte....Bas kwakuwa wao hawana huruma nasi basi NA ss tusiwe NA roho ya huruma?
Kulikuwa hakuna haja ya kutumia hayo MANENO kwenye mistar minne ya kwanza .....Kwakufikir haraka mtu unajua nia yako ya kuandika hivyo ni nn.Hakuna sehemu niliko halalisha kosa kwa kosa,ila ninajaribu kuwaambia watu wasiwe wanafki kwa kujifanya wana huruma sana,wakati ocean road hospital wanapajua wakawaone na wale waone,tena hata wewe kama hujawahi kufika Ocean road fanya hima ukaone watu wanavyoteseka na hawana msaada wowote.