Merry Christmas Bradley..!

Merry Christmas Bradley..!

Dah its sad i believe in miracles ningekuwa na mawasiliano yao ningewashauri kitu Jesus is alive na anaweza kubadilisha historia yake
 
Siku nyingine usichanganye kiswahili na Kiingereza "anakiface kifo" "kabla aja pas away".

Hii haikufanyi uonekane mjanja bali utaonekana kilaz.

"Mungu wa Eliya ndiye anajua muda sahihi wa huyo mtoto kufariki na atashangaza dunia.
No no no sio mungu wa eliya bwana, kwan ni wakwakw peke yake sema MUNGU MUWEZA NDIE ATAKAE MPONYA
 
Tunavyojua kujipendekeza kwenye maumivu ya wazungu,kama wao huwa wapo na sisi kwenye maumivu yetu.HEBU ACHENI UJINGA HAPA,NENDENI MUHIMBILI MKAWATEMBELEE WALE WALIOKO I.C.U. Pole kwake,lakini pole nyingi zaidi ziwaendee wale woooote walio na magonjwa yasiyopona na bado wamelala kitandani karibia huu mwaka wa 10.
Point
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Dogo kachangiwa mahela kibao kutoka kwenye timu na wachezaji aende kutibiwa Marekani natumai atapona.Heri ya noeli kwa wenye kansa sugu pale Ocean Road hospitali.
 
Sielewi mara miezi miwili mara wiki mbili which is which?
 
Tunavyojua kujipendekeza kwenye maumivu ya wazungu,kama wao huwa wapo na sisi kwenye maumivu yetu.HEBU ACHENI UJINGA HAPA,NENDENI MUHIMBILI MKAWATEMBELEE WALE WALIOKO I.C.U. Pole kwake,lakini pole nyingi zaidi ziwaendee wale woooote walio na magonjwa yasiyopona na bado wamelala kitandani karibia huu mwaka wa 10.
Acha ujinga ....huwez halalisha kosa kwa kutenda kosa.....matatizo hayabagui rangi,kabila wala ubaguz wa aina yyte....Bas kwakuwa wao hawana huruma nasi basi NA ss tusiwe NA roho ya huruma?
 
Hakuna sehemu niliko halalisha kosa kwa kosa,ila ninajaribu kuwaambia watu wasiwe wanafki kwa kujifanya wana huruma sana,wakati ocean road hospital wanapajua wakawaone na wale waone,tena hata wewe kama hujawahi kufika Ocean road fanya hima ukaone watu wanavyoteseka na hawana msaada wowote.
 
Kulikuwa hakuna haja ya kutumia hayo MANENO kwenye mistar minne ya kwanza .....Kwakufikir haraka mtu unajua nia yako ya kuandika hivyo ni nn.
 
Back
Top Bottom