Eti kaburi lake tayari linamsubiri!!![emoji30] ......Wazungu ni watu ovyo kabisa kwenye sayari hii![emoji17]
Alaaa kumbe Mungu wa EliyaSiku nyingine usichanganye kiswahili na Kiingereza "anakiface kifo" "kabla aja pas away".
Hii haikufanyi uonekane mjanja bali utaonekana kilaz.
"Mungu wa Eliya ndiye anajua muda sahihi wa huyo mtoto kufariki na atashangaza dunia.