Merry Christmas Bradley..!

Merry Christmas Bradley..!

Kila la kheri Bradley kuifikia siku yako ya Mwisho.

Mungu na akakupokee pumzi yako itakapoiacha dunia. Amen.
 
kufa au kutokufa tumuachie GOD ... mzungu ndo nani katika huu ulimwengu anapangua watu kifo ... kifo ni siri aiseee aache usee.....
 
Merry x mass bradley na mwenyez mungu atende miujiza upone
 
Eti kaburi lake tayari linamsubiri!!![emoji30] ......Wazungu ni watu ovyo kabisa kwenye sayari hii![emoji17]

Ni utamaduni tofauti tu.

Hata Spain, familia inanunua sehemu ya kuzika familia nzima sehemu moja.

Japan, sio tu unaweza kununua kaburi lako kama unanunua ardhi ya kujenga nyumba, familia yako pia wanailipia "service charge" forever.

Merry Christmas Bradley.
 
Extreemely depressed by the sad news. Wish you Bradley the real-healing miracle from the Christ, Jesus. Merry Christmas Bradley.
 
Hatakufa bali ataishi, naye atayasimulia matendo makuu ya Mungu.
 
Anaweza asife si mnakumbuka yule jamaa from libya aliyekuwa kafungwa kwa tuhuma za kulipua ndege na yeye si aliachiwa wakasema anaumwa hatamaliza miezi mitatu, lakini hakufa akaisha miaka na miaka
 
Naamini Mwenyezi Mungu atafanya njia pasipo njia...!!!
MERRY CHRISTMAS BLADLEY[emoji9][emoji7]
 
Mbona hujawatakia watanzania waliopo Ocean Road pale, watoto wengi tu pale tembelea mkuu! Msiwe watumwa
 
Siku nyingine usichanganye kiswahili na Kiingereza "anakiface kifo" "kabla aja pas away".

Hii haikufanyi uonekane mjanja bali utaonekana kilaz.

"Mungu wa Eliya ndiye anajua muda sahihi wa huyo mtoto kufariki na atashangaza dunia.
Alaaa kumbe Mungu wa Eliya

Sasa sisi anatuhusu nini huyo Mungu wa Eliya

Angekuwa Mungu wa ulimwengu wa watu wote sawa

Ila huyo wa Eliya apite hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Back
Top Bottom