Merry Christmas Bradley..!

Merry Christmas Bradley..!

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi...
15589908_1353423651358584_8166924420458366887_n.jpg

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani..

Everybody dies but not everyone has lived... Umeumia moyo wangu!! Leo asubhi wakati nasikiliza [HASHTAG]#BBC[/HASHTAG] Michezo wakaanza mzungumzia huyu dogo usingizi ulikata kwakweli mtoto ana kiface kifo aliomba apatiwe zawadi ya kadi ya sms kabla aja pass away mpak jana usiku ametumiwa kadi million 13 amepokea madaktali wanatibu Mungu anaponya We baba mponye huyu kijana
15589658_1353423654691917_1693628470896881391_n.jpg

15621605_1353423668025249_2137499922147976789_n.jpg
 
Tunavyojua kujipendekeza kwenye maumivu ya wazungu,kama wao huwa wapo na sisi kwenye maumivu yetu.HEBU ACHENI UJINGA HAPA,NENDENI MUHIMBILI MKAWATEMBELEE WALE WALIOKO I.C.U. Pole kwake,lakini pole nyingi zaidi ziwaendee wale woooote walio na magonjwa yasiyopona na bado wamelala kitandani karibia huu mwaka wa 10.
 
Merry Christmas Bradley..!
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi...
15589908_1353423651358584_8166924420458366887_n.jpg

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani..

Everybody dies but not everyone has lived... Umeumia moyo wangu!! Leo asubhi wakati nasikiliza [HASHTAG]#BBC[/HASHTAG] Michezo wakaanza mzungumzia huyu dogo usingizi ulikata kwakweli mtoto ana kiface kifo aliomba apatiwe zawadi ya kadi ya sms kabla aja pass away mpak jana usiku ametumiwa kadi million 13 amepokea madaktali wanatibu Mungu anaponya We baba mponye huyu kijana
15589658_1353423654691917_1693628470896881391_n.jpg

15621605_1353423668025249_2137499922147976789_n.jpg
merry Christmas wa-Africa wenzangu wote walio hoi kitandani /wagonjwa.
 
Back
Top Bottom