Merry Christmas Bradley..!

Merry Christmas Bradley..!

Alaaa kumbe Mungu wa Eliya

Sasa sisi anatuhusu nini huyo Mungu wa Eliya

Angekuwa Mungu wa ulimwengu wa watu wote sawa

Ila huyo wa Eliya apite hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
mzee wa muhas
 
Me
Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi...
15589908_1353423651358584_8166924420458366887_n.jpg

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani..

Everybody dies but not everyone has lived... Umeumia moyo wangu!! Leo asubhi wakati nasikiliza [HASHTAG]#BBC[/HASHTAG] Michezo wakaanza mzungumzia huyu dogo usingizi ulikata kwakweli mtoto ana kiface kifo aliomba apatiwe zawadi ya kadi ya sms kabla aja pass away mpak jana usiku ametumiwa kadi million 13 amepokea madaktali wanatibu Mungu anaponya We baba mponye huyu kijana
15589658_1353423654691917_1693628470896881391_n.jpg

15621605_1353423668025249_2137499922147976789_n.jpg
Merry x-mass bradley! So sad!!!!✉
 
Mary Christmas baby boy malaika huyu waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuiye kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao.
 
MUNGU fundi nyiiuie .... lazima aoneshe mautundu yake. ..... dogo anatoboa uyo.... hawez kufa kwa tabiri ya daktari.... hawa wazungu wamezid sasa duh... mpaka tunapangiana kifo... https://jamii.app/JFUserGuide whites
 
Back
Top Bottom