Merry Christmass & Happy New Year JamiiForums

FAQ

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
415
Reaction score
1,311
MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR JF

Ikiwa ndio leo siku ya kwanza ya msimu rasmi wa sikukuu wa mwaka 2024~2025.

Sina budi kwanza kumshukuru Mungu kwa niaba ya wote wataouona ujumbe huu. Pia natoa pongezi za dhati kwa moderators wa Jamiiforums kwa kuhakikisha tumekuwa hewani mwaka mzima na kuniwezesha kuandika ujumbe huu

Pia nawatakia sikukuu njema viongozi wote wa nchi yetu wale wa kisiasa na kidini pia. Hao ndio chanzo cha amani yetu. Asante Mama Samia kwa amani yetu. Japo changamoto bado tunazo.

Mwisho heri zangu ziwafikie wanafamilia wenzangu wa JF na wa kindugu. Hakika tumevuka pamoja. Tumshukuru Mungu pamoja.

MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR.
2024 ~ 2025


TO THE WHOLE WORLD!

Uzi huu utumike kuwataja member mmoja mmoja na kumtakia msimu bora wa sikukuu
 

Noel et bonna annee!!
 
Mwisho heri zangu ziwafikie wanafamilia wenzangu wa JF na wa kindugu. Hakika tumevuka pamoja. Tumshukuru Mungu pamoja.๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จโคโคโค
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ