Merry Christmass & Happy New Year JamiiForums

Naitwa Stephen Chelu kutoka Nangurukuru nikiwakilisha Muungano salam club.

Salamu zangu za kwanza za msimu wa sikukuu nazirusha kwake financial services. namwambia aache kukopesha wahuni watamfirisi...

Salamu zangu za pili nazipeleka kwake Joanah. Namwambia asiache kubet ipo siku atatoboa...

Za tatu na za mwisho, nazipeleka kwake Depal.

Ujumbeeeee: tukumbukane kupitia Muungano salamu club...

Stephen Chelu naachia line...
 
Thank you mkuu Heri ya msimu wa sikukuu pia.🥳🥳
 
Back
Top Bottom