Nasikia kuna mtaa mmoja mmefuturisha waumini mbuzi katolikiShalom-Aleykum Wakuu
Marry Eid kwa Wakrislamu wote jukwaani hapa ✨️✨️✨️, msherekee kwa furaha, pia msiwe wachoyooooo,
Pasaka Mubarak inakuja jamani, tumeshakubaliana kila sikukuu tunatokea wote, sasa tupeane location kwenye kunanunia. Si mnajua uchumi ni mbaya, uchumi unakaba, tupeane fursa za kutumia toothspick kwa matumizi yake sahihi baadaye😌😌
Zana kama mnavyoona kwenye picha zipo tayari, imebaki mialiko tu😎😎
Shalom-Aleykum Wakuu

Mpaka sasa hujapata mualiko shekh wangu dah !, jipikie tu pilau lako 😅Leo simu za waislamu hazipatikani sijui itakuwa mvua ndio shida 🥹
Kuna mmoja nimemcheki WhatsApp kaniambia yupo Muscat kama naweza kumsubiri arudi sawaMpaka sasa hujapata mualiko shekh wangu dah !, jipikie tu pilau lako 😅
Hakuna Allah, na pia hakuna Allah aliyewachagulia chochote, dini imetengenezwa na Muhammad na nyie mmechagua kwenda nayo wenyewe.Hii ni Sikukuu ya Kiislam sio ya "ukrislam".
Dini ambayo Allah katuchagulia inaitwa Uislam. Hiyo ndio Dini mbele ya Allah. Hiyo ndio Dini ya Allah.
Hatutaki kejeli katika Dini yetu Tukufu.
msubiri tu uzuri hata kesho si bado ni idd😁, leo tafuta sehemu nyingine au pika tu, si unakula mwenyewe hata lisipoiva fresh tu 😁Kuna mmoja nimemcheki WhatsApp kaniambia yupo Muscat kama naweza kumsubiri arudi sawa
Muscat sio mbali sana eeh ?
Raha ya pilau lipikwe na wenye shughuli 😅msubiri tu uzuri hata kesho si bado ni idd😁, leo tafuta sehemu nyingine au pika tu, si unakula mwenyewe hata lisipoiva fresh tu 😁
Sasa mbona unatuletea shida Wakrislam na wala hujaitwa Mkuu? Tupee huo mualiko basi🥹🥹Hii ni Sikukuu ya Kiislam sio ya "ukrislam".
Dini ambayo Allah katuchagulia inaitwa Uislam. Hiyo ndio Dini mbele ya Allah. Hiyo ndio Dini ya Allah.
Hatutaki kejeli katika Dini yetu Tukufu.