win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
kunionea aibu kufanya nini acha ufwala😅Uwoga tuu.
Wakati hata huku unaweza kupika et.
Sema mi nna aibu sana kwa wageno huweza nikakuonea aibu et 😂 😂
kunionea aibu kufanya nini acha ufwala😅Uwoga tuu.
Wakati hata huku unaweza kupika et.
Sema mi nna aibu sana kwa wageno huweza nikakuonea aibu et 😂 😂
Hata kukaa na wewe tuu..kunionea aibu kufanya nini acha ufwala😅
neva neva neva😁 huu ni mtego nishakushtukiaHata kukaa na wewe tuu..
Mi ni mkaka mmoja mwenye aibu sana uwezi amini..
Ila fika upate pilau na soda kwa jf hapa we wa.kwanza kukupa mwaliko plz accept my condolences 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nooo siwezi bana...neva neva neva😁 huu ni mtego nishakushtukia
mshangazi pro max ila sina hela🤸♀️Nooo siwezi bana...
Kwani win wewe ni mshangazi 😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Oooooh jamn moyo umefanya paaaaaaah 😋😋😋😋😋😋😋😋😋mshangazi pro max ila sina hela🤸♀️
kandaga lyaza 🤣🤣🤣🤣🤭Oooooh jamn moyo umefanya paaaaaaah 😋😋😋😋😋😋😋😋😋
Ushaanza nichanganya sasa maana hapa badala ya kuwaza mambo ya msosi nawaza mambo ya KULA doooh
Win karibu nimetuma location PM fanya ukuje bana pilau linakuja lingi na mii kula mwenyewe kwa sasa uwongo
Ndo maana yake ""nakuja""kandaga lyaza 🤣🤣🤣🤣🤭
Taqabbalallaah Minnaa Waminkum
Bwashee , wasalimie sana KigamboniTaqabbalallaah Minnaa Waminkum
Karibu sana nduguBwashee , wasalimie sana Kigamboni
Kumbe vin ni shekh kabisa unajua na kuijibu vizuri 😃Taqabbalallaah Minnaa Waminkum
Shalom-Aleykum Wakuu
Marry Eid kwa Wakrislamu wote jukwaani hapa ✨️✨️✨️, msherekee kwa furaha, pia msiwe wachoyooooo,
Pasaka Mubarak inakuja jamani, tumeshakubaliana kila sikukuu tunatokea wote, sasa tupeane location kwenye kunanunia. Si mnajua uchumi ni mbaya, uchumi unakaba, tupeane fursa za kutumia toothspick kwa matumizi yake sahihi baadaye😌😌
Zana kama mnavyoona kwenye picha zipo tayari, imebaki mialiko tu😎😎
Sasa mbona unatuletea shida Wakrislam na wala hujaitwa Mkuu? Tupee huo mualiko basi🥹🥹
Hakuna Allah, na pia hakuna Allah aliyewachagulia chochote, dini imetengenezwa na Muhammad na nyie mmechagua kwenda nayo wenyewe.
Pilau la Eid tuje kula wapi?
Dini yetu tukufu tumekula idd mos Jana Sheikh
Sasa Mkuu unabishana na sisi Wakrislam wenye skuukuu yetu? Au ndo hasira za kukosa mwaliko? Tuache bana, unatujazia vumbi kwenye comment section hadi hatuoni mialiko😒😒😒Nyinyi hamna sikukuu inaitwa Eid ul Fitr. Ni Sikukuu ya Waislam. Ni Sikukuu ya Kiislam. Na ni katika Alama zetu sisi Waislam. Nyinyi wenye dini yenu mpya mseto mlioianzisha mwaka jana hii sio Sikukuu yenu. Hatutaki kejeli wala mchezo katika Dini yetu Tukufu.