Merry Eid Wakrislam wenzangu, zana tayari tunazo, tupeane mialiko tu!

Huna abaya wewe ,tafuta kwanza abaya alafu nicheki nikupe uelekeo
 
kwani hautokua na yule dem wako mpya? 🀣
Hapana yule nakutana nae kesho.. mlimani kule..

Leo nipo mwenyewe huwezi amini ant nae et kaondoka anasema atarudi jioni.

Hapa jirani kuna sister flan ndio anapika mda huu

Huyu nin uhakika tapata msosi hapa sema ndo hvo akija mtu jinsia tofauti jua unaumia maana nikishiba lazima nitafute kazi ya kutoa hiko chakula
 
ndo maana gono haikuachi salamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
alf usikute unabwabwaja tu ila we ni kuku wa kuchora hauwiki wala kutaga (joking)

zitafune poor ka kitu kenyewe ulipewa bureπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
ndo maana gono haikuachi salamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
alf usikute unabwabwaja tu ila we ni kuku wa kuchora hauwiki wala kutaga (joking)

zitafune poor ka kitu kenyewe ulipewa bureπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyoko wewe...

Skia njo tukule pilau sio mda kinaletwa ila hakikisha una chupi la bati πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyoko wewe...

Skia njo tukule pilau sio mda kinaletwa ila hakikisha una chupi la bati πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
akuuuu yani niweke kiharage changu kwenye matatizo kisa pilau?,, ambayo naweza kujipikia hebu niacheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
akuuuu yani niweke kiharage changu kwenye matatizo kisa pilau?,, ambayo naweza kujipikia hebu niacheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uwoga tuu.
Wakati hata huku unaweza kupika et.

Sema mi nna aibu sana kwa wageno huweza nikakuonea aibu et πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…