Merry Eid Wakrislam wenzangu, zana tayari tunazo, tupeane mialiko tu!

mshangazi pro max ila sina hela🤸‍♀️
Oooooh jamn moyo umefanya paaaaaaah 😋😋😋😋😋😋😋😋😋

Ushaanza nichanganya sasa maana hapa badala ya kuwaza mambo ya msosi nawaza mambo ya KULA doooh

Win karibu nimetuma location PM fanya ukuje bana pilau linakuja lingi na mii kula mwenyewe kwa sasa uwongo
 
kandaga lyaza 🤣🤣🤣🤣🤭
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa mbona unatuletea shida Wakrislam na wala hujaitwa Mkuu? Tupee huo mualiko basi🥹🥹


Nyinyi hamna sikukuu inaitwa Eid ul Fitr. Ni Sikukuu ya Waislam. Ni Sikukuu ya Kiislam. Na ni katika Alama zetu sisi Waislam. Nyinyi wenye dini yenu mpya mseto mlioianzisha mwaka jana hii sio Sikukuu yenu. Hatutaki kejeli wala mchezo katika Dini yetu Tukufu.
 
Hakuna Allah, na pia hakuna Allah aliyewachagulia chochote, dini imetengenezwa na Muhammad na nyie mmechagua kwenda nayo wenyewe.
Pilau la Eid tuje kula wapi?




Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Sasa Mkuu unabishana na sisi Wakrislam wenye skuukuu yetu? Au ndo hasira za kukosa mwaliko? Tuache bana, unatujazia vumbi kwenye comment section hadi hatuoni mialiko😒😒😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…