Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana.
Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita simu usingizi unakata hadi usome kwa kudhania labda ni taarifa nyingine muhimu, zinakera sana.