Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wameshindwa kuuzuia wakati wanacho kitengo cha kupambana na uhalifu kupitia mitandao ya mawasiliano, wameamua kutusukumia sisi mshahara wale wao.Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu.
Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo.
Hii ni kero sasa, wahusika watume walau mara moja kwa wiki.