Meseji zinazo maliza nguvu wanaume..

Siku ya kwanza kutongoza:

Kuna dem nilimtongoza kwa njia hyo ya sms ilkua mida ya usiku ile nmetuma text haikupita hata dakika moja text ikaingia bwana we nilizima nikajitupa kitandani usiku siku lala natafakari ni jibu gani kanijibu basi ilpo fika asubuhi nikaamka mapema nikafanya usafi,nikaoga nikanywa chai nikapanda kitandani ili nisome litakua jibu gani huku mapigo ya moyo yakienda mbio kufungua text nakuta "ndugu mteja kifurushi chako cha siku kimekwisha muda wake" nilighafirika sana

Alisikika jamaa mmoja
 
Mkuu inaonekana huyu mwanamke ulimpenda isivyo kawaida......pole sana..
 
1.Ommy sizioni siku zangu,
2.hivi mara ya mwisho tumeduu unauhakika ulimwagia nje kweli?
3. Beby baba amesema nirudi nilikokuwa hivi nipo njian nakuja geto kwako
 
1.Ommy sizioni siku zangu,
2.hivi mara ya mwisho tumeduu unauhakika ulimwagia nje kweli?
3. Beby baba amesema nirudi nilikokuwa hivi nipo njian nakuja geto kwako
Ommy nioe tu..[emoji23]
 
1.Ommy sizioni siku zangu,
2.hivi mara ya mwisho tumeduu unauhakika ulimwagia nje kweli?
3. Beby baba amesema nirudi nilikokuwa hivi nipo njian nakuja geto kwako
Hahahah.
 
Ingine....unatuma meseji kwa mrembo unatongoza tongoza. Mfano.

Limeseji nzuri la kuvutia kwako halafu haijibiwi.
 
Sikupi mpaka uje nyumban na ujiunge na kanisa letu....

Au

umepata wap namba yangu?[emoji26] au, unanivua nguo unataka kufanya nn? mm najibugi nataka kufua [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…