Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
- Thread starter
-
- #21
Selekta namuelewa sana .. Jamaa anaflavour ya pekee kwenye hii game from the way he sings to the beats he makes.Nakumbuka enzi hizo tuna crash geto moko Muki pale... Katoka mbali toka tupo nae X members na wadau wengine kibao.
hahaha. huyo sio mtu wa sport sportFataki music heheheh!! Fetality bwana au we ni zile timu mbili zinazorogana.
Ndio nimelipia, mkweni haujaona risiti katikati ya makalio yako? NiliiwekaUmelipia tangazo?
18%VAT inakuhusu
Ni mzuri sema kipindi anafanya RnB ndio nilikua namwelewa sana.... For now Namkubali kama producer.Selekta namuelewa sana .. Jamaa anaflavour ya pekee kwenye hii game from the way he sings to the beats he makes.
Sawa mesen seleketa nikipata nafac nitausikiliza weekend hii huo wimbo wkoDaah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] poa MkuuBaba mzigo.. Upo released tayari mimi hapa na rape the replay button.
Pamoja sana kiongozi!Mzigo upo poa nisha ushusha hapa kutoka youtube balaa tupu
Hahah!! Sawa pam DSawa mesen seleketa nikipata nafac nitausikiliza weekend hii huo wimbo wko
De fatality music..Fetality Music
Ahahhhahaahaahaahahaa sawaDaah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
mbona umefurahi sana mkuu?Ahahhhahaahaahaahahaa sawa
Huyu jamaaa anajua kinoma ,,,hyo kinanda ndo naisikiliza hapaWimbo wa Kinanda unanichanganya