Mesen selekta anajua sana muziki

Mesen selekta anajua sana muziki

Nakumbuka enzi hizo tuna crash geto moko Muki pale... Katoka mbali toka tupo nae X members na wadau wengine kibao.
Selekta namuelewa sana .. Jamaa anaflavour ya pekee kwenye hii game from the way he sings to the beats he makes.
 
Selekta namuelewa sana .. Jamaa anaflavour ya pekee kwenye hii game from the way he sings to the beats he makes.
Ni mzuri sema kipindi anafanya RnB ndio nilikua namwelewa sana.... For now Namkubali kama producer.
 
Daah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
Sawa mesen seleketa nikipata nafac nitausikiliza weekend hii huo wimbo wko
 
Ila jamaa kutengeneza beat + mastering bado sana ukisikiliza audio alizotengeneza ni kama vile mabati/paa la nyumba linapigwa...
 
Haya ndio wimbo bora kabisa aliowahi kufanya Mesen...
Ngoja nijaribu kuisikiliza na hii nione..!
 
fetality music... mesen selekta

killer of the killers

Instrumental killer hahahaaa namkubali Sana huyu jamaa hasahasa ngoma yake ya [HASHTAG]#kanyaboya[/HASHTAG] ile beat ni shedraah
 
Daah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
Ahahhhahaahaahaahahaa sawa
 
Back
Top Bottom