Naamini nitakuwa bado sijafa..! Please Mungu niache kwanza nimalizie UEFA hii. Lol!Tarehe 9 mwezi wa nne. Marudio tarehe 16 mwezi wa nne.
Mungu ajibu haja za moyo wako.Naamini nitakuwa bado sijafa..! Please Mungu niache kwanza nimalizie UEFA hii. Lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli man city anasonga mbele,liverpool na barca bado wanasonga mbele.Juventus na ajax lolote laweza kutokea hii timu ina matokeo ya kushsngaza sana.
Kwa kiwango cha man hata hatua hii waliyofika bado wana haki ya kujivuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Holy Shit! Man United
April 9 and 10
Akili za kimaskini ni kukata tamaa.Uefa huu ni uonevu ni sawa na kumuhukumu kifo Man U, bora wasingewatoa PSG
Scoles Ndiye aliye wafungasha Barcelona vilago wakaenda kuchukua kombe kwa Chelsea. Alipiga bakora moja mujarabu akimwacha kipa vardes akiruka bila mafanikio. Mpira unadunda tusubiri tuone kwakua yajayo yanafuraisha pale OT.Man U hii kumtoa Barcelona ni future impossible tense. Ilishindwa Man U iliyokuwa na akina scholes, Beckham, Van De saa, Rio Ferdinand ije kuwa Man U yenye rashford na Phil Jones.
Acha utani Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app